Hapa unampa sifa mkurugenzi za buleeee! Huhitaji hata kufungua kifungu cha sheria/katiba inayowakataza wabunge/madiwani wa Z'bar kushiriki uchaguzi huo. Ila unahitaji gharama ya ujinga wa kutupwa ili kuhalalisha uwepo wa wabunge wa Z'bar katika uchaguzi wa bara hususani kipindi hiki cha sito fahamu ya uchaguzi wa Z'bar. Hakuna madiwani/Wabunge madhalani wa Kigoma, Iringa n.k wanaoishi Dar? Kwanini na wao wasishiriki?Mkurugenzi wa Manispaa sio mbumbumbu. Kabla ya kufanya hivyo amechambua kwa makini hoja za pande zote kwenye suala hili la ushiriki wa wajumbe kwenye uchaguzi huu.
Sasa Wabunge kutoka Zanzibar wanapiga vipi kura ya kumchagua Meya wa Ilala. Hapo ndipo ninapowaomba wataalamu wa mambo ya sheria wanisaidie. Mbunge wa Zanzibar anahusika vipi na udiwani wa Ilala. Waende tu mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri sahihi. Lakini swala lenyewe lilivokaa ni kichekesho kitupu.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
Huko kuna maskini wengi na watu wasio na elimu...hivi halmashauri ya temeke tumeikosaje wadau
ni kweli lakini safari hii kuna mabadiliko makubwa sana .Huko kuna maskini wengi na watu wasio na elimu...
Ndio maeneo ambayo CCM inashindaga..
Tunakuomba Mh Asaa Simba uje ujibu hii .
Hiki chama kinaumwa ugonjwa mbaya kabisa na kiko taabani icu
Mkuu lisilowezekana kwa mwana chama wa chama cha siasa tofauti na ccm,kwa mwana ccm linawezekanaSasa Wabunge kutoka Zanzibar wanapiga vipi kura ya kumchagua Meya wa Ilala. Hapo ndipo ninapowaomba wataalamu wa mambo ya sheria wanisaidie. Mbunge wa Zanzibar anahusika vipi na udiwani wa Ilala. Waende tu mahakamani ili mahakama ikatoe tafsiri sahihi. Lakini swala lenyewe lilivokaa ni kichekesho kitupu.
Duuuuu nimefurahisana na kupiga vigeregereMi nilishajua CCM isipoanza upya ni tatizo tu. Ukitaka kujua ubovu wa CCM angalia wajumbe wa CC na mkutano mkuu. Wanachoweza kufanya kwa ufasaha kabisa ni kunengua. Hawana msaada wowote wa kukijenga chama.
Mwambie aende tandahimba,aende newala , aende ndanda aende kilwa huko ndio ccm walikuwa wanajizolea kura bila wasiwasi lkn akaulize nini ccm kimewapata mwaka huuni kweli lakini safari hii kuna mabadiliko makubwa sana .
mchonga angekuwepo hata Lowasa asingegombea. hata yeye mwwnyewe anajua hili. thubutuuu !Nina hakika Mchonga angekuwa hai anghajitoa
umeandika ukweli lakini wenye kufedhehesha sana ! nimejikuta naangalia chini kwa aibu .Mi nilishajua CCM isipoanza upya ni tatizo tu. Ukitaka kujua ubovu wa CCM angalia wajumbe wa CC na mkutano mkuu. Wanachoweza kufanya kwa ufasaha kabisa ni kunengua. Hawana msaada wowote wa kukijenga chama.
Naomba kuuliza, miaka yote ya uchaguzi kama huo uwa wanafanya hivyo walivyotaka kufanya??Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wake wa Wilaya hiyo Asaa Simba aliponukuliwa na gazeti la mwananchi.
Amesema wapo kwenye mchakato wa kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa manispaa hiyo Isaya Mngurumi.
Akiendelea kufunguka zaidi Simba alisema mojawapo ya sababu zilizosababisha wakagomea uchaguzi huo ni kuzuiliwa wabunge wanane wa viti maalum wakiwemo waliotoka mikoa ya Zanzibar.
Hivi ukawa walipata madiwani wangapi na ccm wangapi katika halmashauri ya temekekulikuwa kuna magumashi ya kufa mtu jimbo la mbagala , kesi iko mahakamani .
Daah!! Kwa faida ya JF tufahamishe sehemu gani Tanzania kuna wapiga kura matajiri.Huko kuna maskini wengi na watu wasio na elimu...
Ndio maeneo ambayo CCM inashindaga..