CCM ikishinda 2015

CCM ikishinda 2015

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Habari wana Jf!

Kutokana na ugumu wa maisha kwa wananchi wengi wa Tanzania, na hili likichangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali iliyopo chini ya uongozi wa CCM.

Kuna uwezekano mkubwa sana wananchi kufa mapema kutoka na hali mbaya ya kimaisha, huduma mbovu za kiafya, Depression na mengineyo yanayo gusa maisha ya mwananchi moja kwa moja, hili halina ubishi maisha ya watanzania wengi kwa sasa yamejawa na huzuni, mawazo na hata wengine kukata tamaa ya maisha.

Kujinasua katika hili janga linalo weza kutukumba hapo mbeleni, kwa pamoja mimi na wewe hatuna budi tuhakikishe 2015 Chama Cha Mapinduzi hakiingii madarakani by any means na tuhakikishe kura zetu tunazilinda hadi kieleweke.

Jioni njema kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Jamii forum.
 
Nami nina mpango wa kuanzisha chachi litakalopokea watu wote na hata waliotengwa na machachi yao, pia wapagani na watu wenye mrengo wa imani za kina Nyani Ngabu pia yu a welcome.

Ngoja niandae proposal, nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu manoah hivi unajua mzazi wako ndo Mungu wako wa pili?
Source: biblia...........nukuu ntakupa baadae.
 
Last edited by a moderator:
Ndio dady! Nakubaliana nawe, na hata kama mzazi anakua anamapungufu ataendelea kua mzazi tu, hata mimi ccm itaendelea kua ndani yangu na ndicho chama changu, ila imefika mahali tukimpumzishe kidogo ili nacho kijipangee duh! Zaidi katika wa tz 40mill, wenye uhakika na life hawafiki hata 10mill, dadi tunajua haya yanachangiwa na mengi, ila na mfumo wa utawala uliopo unazidisha hali mbaya , maisha ya mtanzania yamejawa huzuni kha!

Mwanangu manoah hivi unajua mzazi wako ndo Mungu wako wa pili?
Source: biblia...........nukuu ntakupa baadae.
 
Last edited by a moderator:
Raiza ujue nataka nikupende, Ok! Mimi ni mwachama harali wa ccm na sio tu mwanachama ninakipenda, ila kuwepo kwangu huko haku niharalishi mimi kushabiki mabaya wayatendayo, sitoumia mimi tu kuna hatari hata ya kizazi chetu kijacho kikaumia zaidi yetu..
manoah umeanza lini!???
wewe si ulimkaribisha CHAI CHUNGU ccm
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu mpenzi ujue nakupenda kweli, ila dah! Chama changu pendwa naona kitaleta maafa hapo baadae, nchi ikiendelea kutawaliwa kwa mfumo huu hari itakua mbaya zaidi.. Unapotea barabarani usishangae kuona watu wanajiongelea wenyewe, hao wameshapoteza matumaini, unadhani mkombozi wake nani kama sio mimi na wewe? Haina budi ccm ifanye mabadiliko ivi shemeji ujashtuka tu nchi inavyo poteana?
naona Bishanga
anakuandaa kugombea ubunge!

 
Last edited by a moderator:
Mie mwananchi ninae guswa na maisha ya binadamu wenzangu, wanaoishi pasipo na matumaini katika nchi yao yenye kila kitu cha wao kuwafanya waishi maisha bora, wakipata huduma bora kama za kiafya, usafiri, elimu na mengineyo yanayo gusa maisha yao

Nawe ni mwanasiasa?
 
Katika watanzani zaidi ya 40mill, wenye uhakika na maisha hawafiki hata 10mill, unafikiri hapo kuna nini ? Maisha ya watanzania wengi yamekua ya huzuni na wamekata tamaa na linchi lao

Mweee..Unataka kutangaza nia?!
 
Naomba kujiunga na hilo li chachi lako, ila mie nataka niwe mfanya usafi wa mazingira na roho pia.

Nami nina mpango wa kuanzisha chachi litakalopokea watu wote na hata waliotengwa na machachi yao, pia wapagani na watu wenye mrengo wa imani za kina Nyani Ngabu pia yu a welcome.

Ngoja niandae proposal, nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom