Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Habari wana Jf!
Kutokana na ugumu wa maisha kwa wananchi wengi wa Tanzania, na hili likichangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali iliyopo chini ya uongozi wa CCM.
Kuna uwezekano mkubwa sana wananchi kufa mapema kutoka na hali mbaya ya kimaisha, huduma mbovu za kiafya, Depression na mengineyo yanayo gusa maisha ya mwananchi moja kwa moja, hili halina ubishi maisha ya watanzania wengi kwa sasa yamejawa na huzuni, mawazo na hata wengine kukata tamaa ya maisha.
Kujinasua katika hili janga linalo weza kutukumba hapo mbeleni, kwa pamoja mimi na wewe hatuna budi tuhakikishe 2015 Chama Cha Mapinduzi hakiingii madarakani by any means na tuhakikishe kura zetu tunazilinda hadi kieleweke.
Jioni njema kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Jamii forum.