CCM ifanye siasa za haki

CCM ifanye siasa za haki

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.

Hali hii ni HADI LINI?
 
Ukijua maana ya neno SIASA wala hupati tabu.
 
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.

Hali hii ni HADI LINI?
CCM ni hatari sana.
 
Machafuko tu ndio njia pekee ya kutoa hilo chama chakavu lenye mizizi ya kijamaa. Usitegemee chama kilichopoteza ushawishi huku kikiwa kimekaa madarakani muda mrefu kutenda haki.
 
Nashangaa hivi inakuaje balozi wa nyumba10 anachaguliwa Huku kwenye makazi yeti na wanachama wa CCM TU na zoezi Zima lipo chini ya CCM. Hii haijakaa sawa. Mbinu hii inalazimisha watu katika level ya chini kulazimishwa kijiunga CCM Ili wamchague mjumbe wao.

Ilitakiwa iwe mjumbe anachaguliwa na wakazi wote katika eneo hilo bila kuzingatia uchama. Kwa Kuwa katiba mbovu basi CCM wametumia mwanya huo kupata wanachama kwa lazima. Haki hakuna.
 
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.

Hali hii ni HADI LINI?
Ukoloni mweusi ni mbaya kuliko wa kizungu
 
Haki ipi?
Ya kuingia na kura kwenye vikapu na kupiga kura siku moja kabla kama alivyofanya magufuli
Za kuandikisha wanafunzi kama wapiga kura.
Za kutumia TISS/ POLICCM kulinda ushindi.
Za kugawa makofia kwa wasabi
Za kununua na kuzuia vyombo vyote vya habar hasa TV zisiwatangaze wengine hasa wakati wa kampein
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho. Hiki chama kiko mbioni kufa! 2025 ndiyo mwisho wake.
 
Machafuko tu ndio njia pekee ya kutoa hilo chama chakavu lenye mizizi ya kijamaa. Usitegemee chama kilichopoteza ushawishi huku kikiwa kimekaa madarakani muda mrefu kutenda haki.
Chadema ni ccm B
Atc wazalendo ni ccm c
Nccr mageuzi ni ccm d
Chama cha mrema ccm e nk
Tulia kijana kazi iendelee.
 
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na wasiokuwa CCM wanafahamu hivyo.

Hali hii ni HADI LINI?
Hao jamaa ni zaidi ya wakoloni maana mkoloni mweupe shida yake ni raslimali ila CCM lengo lao ni madaraka na mali bila kujali vinapatikanaje.Uroho wa CCM ni zaidi ya mzee fisi.
 
Ya kuingia na kura kwenye vikapu na kupiga kura siku moja kabla kama alivyofanya magufuli
Za kuandikisha wanafunzi kama wapiga kura.
Za kutumia TISS/ POLICCM kulinda ushindi.
Za kugawa makofia kwa wasabi
Za kununua na kuzuia vyombo vyote vya habar hasa TV zisiatangaze wengine hasa wakati wa kampein
Sio Siri kwa Kila mtu kuwa CCM inasomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeni. Wao wanajua na wengine wanajua. Sio siri kuwa kura zinaibwa, wao wanajua na watu wanajua pia. Inafahamika kuwa wagombea wa upinzani wanaenguliwa makes usudi, wao wanajua na wengine wanajua pia
 
Eti wao ndo wanajua Tanzania inataka nn na haitaki nn, eti wao ndio wenye uchungu mwingi sana na Tanzania kuliko wengine. Hii sio Afya kwa nchi yoyote
 
Back
Top Bottom