CCM iache kumu-abuse Makongoro Nyerere

CCM iache kumu-abuse Makongoro Nyerere

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
36,967
Reaction score
68,835
..it is very sad wanachofanya kwa makongoro.

..wamemkata kwenye uraisi. Kwenye ubunge pia wamemkata.

..lakini wanajua udhaifu wa makongoro kuwa ni mtu wa kuropoka-ropoka.

..sasa wameamua kumtumia kuporomosha matusi ktk kampeni hizi.

..inasikitisha sana kwamba mtoto wa baba wa taifa, mtu ambaye taifa hili linamheshimu, ndiyo nawekwa mstari wa mbele kuporomosha matusi na kejeli ktk kampeni zetu.

..kwa kweli huu si uungwana. Sidhani kama familia ya Baba wa Taifa inastahili udhalilishaji huu.
 
Kampeni zeni kivipi wewe wakati umeshsnunuliwa na mafisadi waliokimbilia ukawa? Huna jipya tulia utumike na hao vibaka utajua mwishowake ukifika
 
Kwahiyo ndo kusema mako yeye yupo km robot hajitambui kile afanyacho kuwa kinadhalilisha hadhi ya Familia ya Nyerere?
 
Matusi aliyoporomosha yako wapi? Nyumbu wapumbavu sana
 
Watz ni wapumbavu na malofa, ni matusi aliyoporomosha rais mstaafu, kama na wewe ni mtz basi lofa na mpumbavu
 
Yule waziri mkuu mstaafu maarufu kama " "Zero" enzi zake kawaambia kuwa Ukawa haina uzoefu wa kuongoza, kwa hiyo kaja ukawa kuwapa uzoefu, teh teh teh!
 
Kwahiyo ndo kusema mako yeye yupo km robot hajitambui kile afanyacho kuwa kinadhalilisha hadhi ya Familia ya Nyerere?

..off course.

..unajua makongoro ni mtu mzima yule.

..ana mke na watoto. Sisi tunasema ni mzee mwenye "mji" wake.

..sasa ccm kwenda kumsimamisha aongee mambo ya ajabu-ajabu ni kumdhalilisha.

..mbona watoto wa viongozi wengine hawaachwi tu wakaropokwa kama wanavyofanya kwa makongoro nyerere?

..umeona watoto wa mzee mwinyi, mzee mkapa,...wakifanya anayofanya makongoro?

NB:

..my point ni kuwa mtu yeyote ambaye anajali heshima na utu wa makongoro nyerere hawezi kumuacha akaropoka namna ile.
 
CCM kweli inaonyesha hamna hoja za msingi.... Naona tu siku hizi kwenye majukwaa yenu mnasema UKAWA wanapokea mafisadi.... Hizo kashfa zenyewe zinaweza kuwa kweli ama isiwe. Lakini najiuliza swali, Hakuna pungufu liingine mmeliona ndani ya ukawa zaidi ya udfisadi? Kama hamna basi ujue UKAWA ndio wanastahili kuchukua hii nchi.
 
Yanawahusu nini ya CCM wakati mna UKAWA?? Jipangeni vizr upande wenu msikalie kulialia huu si muda wake
Nyumba yenu inaungua ww unalaumu moto badala ya kutafuta mbinu za kuuzima??
 
Mungu hamfichi Mpumbavu, nimeamini UKAWA ni wapumbavu, subiri dawa iwaingie.
 
CCM kweli inaonyesha hamna hoja za msingi.... Naona tu siku hizi kwenye majukwaa yenu mnasema UKAWA wanapokea mafisadi.... Hizo kashfa zenyewe zinaweza kuwa kweli ama isiwe. Lakini najiuliza swali, Hakuna pungufu liingine mmeliona ndani ya ukawa zaidi ya udfisadi? Kama hamna basi ujue UKAWA ndio wanastahili kuchukua hii nchi.
 
..off course.

..unajua makongoro ni mtu mzima yule.

..ana mke na watoto. Sisi tunasema ni mzee mwenye "mji" wake.

..sasa ccm kwenda kumsimamisha aongee mambo ya ajabu-ajabu ni kumdhalilisha.

..mbona watoto wa viongozi wengine hawaachwi tu wakaropokwa kama wanavyofanya kwa makongoro nyerere?

..umeona watoto wa mzee mwinyi, mzee mkapa,...wakifanya anayofanya makongoro?

NB:

..my point ni kuwa mtu yeyote ambaye anajali heshima na utu wa makongoro nyerere hawezi kumuacha akaropoka namna ile.

Basi na tusiwalaumu viongozi wake wa juu kwani tatizo lipo kwa mhusika mwenyewe mako akili yake haina akili.
 
Mradi wasiombe poo matusi kila mtu anajua na sisi hatutatukana tu na tutazomea ....
Akikupiga ngumi Ya sikio mpige ngumi Ya jicho akikuuliza unaskiaje muulize unaonaje.!!
 
Basi na tusiwalaumu viongozi wake wa juu kwani tatizo lipo kwa mhusika mwenyewe mako akili yake haina akili.

..viongozi hawawezi kukwepa lawama ktk hili.

..kama haya anayoyasema makongoro ni sawa, kwanini viongozi hawatoi kauli hizo wao wenyewe au kwanini hawawatumi watoto wao??
 
Sijajua mods wananini, jana nimeweka uzi haoa wenye nadharia hii hii, Mods wakauchanganya na uzi wa ccm jangwani.

Ili uwe refa mzuri yakupasa uzuie hisia zako
 
Sijajua mods wananini, jana nimeweka uzi haoa wenye nadharia hii hii, Mods wakauchanganya na uzi wa ccm jangwani.

Ili uwe refa mzuri yakupasa uzuie hisia zako

..ungeleta hoja zako hapa ili tuchangie mjadala.

..hivi ulivyofanya unaweza ukasababisha thread yangu itupwe kusikojulikana.
 
Back
Top Bottom