CCM huwezi kumualika tu Kiongozi kwenye mahojiano ya TV au Radio, uko Utaratibu wa kiofisi. Chadema bado wako kizamani unapokea Mwaliko hata bar!

Hando atakuwa alimpigia Lissu aliwa bar amelewa na akampa mualiko hahahaha
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Kwamba kila afanyacho Sisiemu ni kizuri hata vyama vingine viige?

Kwamba kwa kuwa hata tabia ya kuwa Chawa na kumsifia Mwenyekiti wa chama ni jambo zuri hao Chadema waige?
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Punguza dharau.
 
CHADEMA ni genge la wahuni. Hapo kila mmoja leo anaropoka badala ya msemaji wao kutoa taarifa moja kwa niaba ya taasisi.
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana
 
Nyinyi chawa ndio mnataka maridhiano na mnaowanyonya damu,kwelii😅.Hataaaa🏃‍♂️🏃‍♂️
 
iliwahusu nini sasa kwenda kumzuia asiende kwenye mwaliko?
Sasa ikiwa Mwwnyekiti wa Chama chake hapendezwi na T.L kutofuata taratibu za CHADEMA..

Afanyeje? Au ndio mnasema Mbowe hana ushawiahi au nguvu za kufanya hivyo?
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Jokate huyuhuyu wa pale Hall 3, Daruso na UDASA!!??
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
UWT mara ya mwisho mlialikwa lini?
 
Cdm ni chama Cha watu sio Cha majizi, hivyo hawana ugumu wowote wa kukutana. Huko ccm ni lazima kuwe na protocol hizo, maana lazima magari ya serekali yatumike kwenye msafara wa kumpeleka huyo anayeenda kwenye kipindi. Isitoshe ccm lazima upangiwe cha kuongea maana sio ukweli Bali ni propaganda. Cdm sio tatizo maana unaongea ukweli tu.
Na maswali lazima Katibu Mkuu CCM ayaone
 
Back
Top Bottom