CCM huleta maendeleo kule wanakopingwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM huleta maendeleo kule wanakopingwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jun 13, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Maeneo mengi yanayoshabikia CCM ndiyo yanayokimbwa kwa kiasi kikubwa na njaa ujinga,maradhi na umaskini na wakati yale maeneo yanayopinga CCM hali si mbaya ukilinganisha na yale ambayo CCM imekuwa ikipata kura kwa wingi wakati wa uchaguzi, kwa hili ndo tuseme kuwa CCM huleta maendeleo kule inakopingwa?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu, kule wanapopingwa CCM wananchi wamesoma wameelimika,kule wasipopingwa huiba kura na wananchi hawajaelimika pia
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sehemu yoyote ambapo ccm wanauhakika wa kushinda maendeleo hakuna kabisa. Mfano Tabora,dodoma, singida,morogoro,mtwara, lindi, pwani,tanga, huku watu wanaumaskini wa kutisha! Ccm wanapata mtaji kwa hawa! Jamani amkeni!!!
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hio haina ubishi Angalia barabara za Arusha Mjini zinavyojengwa kwa kasi. Angalia barabara zinavyo jengwa Iringa. Majimbo yaliyo na wabunge wa ccm piga chini weka Wabunge wa CDM Upate Maendeleo ya haraka
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani hata wenye wanalitambua hilo na kwa hali mbaya waliyoko nayo ni vigumu kujipanga wakiwa madarakani ilopo waachie madaraka wakajipange waje upya labda ndo wanaweza kufanya kitu
   
Loading...