Uzuri huyo mama aliyelala hapo akipigwa na njaaa ni mwana ccm maana naona hayo makangaWapinzani walikuwa ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo nchi kwa sasa ni kazi tu jengo la stendi ya Ikungi la kupumzika abiria limependeza sana, mitano teenaaa
View attachment 1686588
hiki ni kituo cha punda na ng'ombe au?
Hahahahahahahahahaha...........Tuliahidi ... tunatekelezaView attachment 1686488
Hii nindharau kabambe kutoka kwa mbunge. Wtf man..Tuliahidi ... tunatekelezaView attachment 1686488
Mbunge wao wa CCM anatumia vizuri Mfuko wa Jimbo kwa manufaa ya Kijiji na Halmashauri kutokana na ushuru unaolipwa na kila Basi linalosimama hapo labda na hao wanaolala hapo kama huyo mmoja, kama hawasafiri, nao wachangie kitu kidogo kwa maendeleo yao.Kweli Chadema walikuwa wanatucheleweshea maendeleo,mitano tena.View attachment 1686609
Wapinzani mlituchelewesha sanaMbunge anajivunia kufadhili banda la shilingi 3000/=
Hakika hii ni nchi ya viwanda.
Chadema walituchelewesha sana, vitu kama hivi vingekuwepo kitambo tu. Wabunge wa CCM wabunifu sana. Mitano tena.
Muulize Polepolehiki ni kituo cha punda na ng'ombe au ?
Mlifikiri mkiiba kura zote nchi mtaiweza; sasa imewaelemea mapema dadadeqHicho Kipanda ni cha siku nyingi wakati Lissu Robert Amsterdam akiwa Mbunge wa Ikungi siyo huyu Mbunge mpya!!
Mi nafikir ungesea chadema oyee Hilo Jimbo lilikua la nani
Kwanza mleta mada mnafiki sana hapo napajua hata basi haziingii hapo ni ka kituo ka dala dala