Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
kuna taarifa nimezipata muda huu kuwa, ccm ipo hoi bin taaban kiinteligensia, ccm ilitegemea kupata taarifa za wenzao wa ukawa kirahisi, lakini hadi sasa haijapata siri yoyote dhidi ya ukawa hivyo kuwa katika wakati mgumu kimaamuzi na kimkakati... Nanukuu "tuliyemtegemea kupata taarifa zao ni yule kagenzi lakini chadema intelligence ndo hivyo tena ikamshtukia, sasa kwa sasa our team haipati taarifa zozote.....kuna yule mwingine naye tulimtegemea sana, kama wangekubaliwa kujiunga na huo umoja wao tungefurahi sana lakini jamaa wamemgomea..." amesema kiongozi mmoja wa juu wa ccm.
My. Take:wakuu hali ni mbaya zaidi ya tunavyoweza kufikiri..
guys ccm ndo serikali,na serikali ndo ccm,sijaona kitu hapo is just a matter of time mtajua mboga ni nani na ugali ni nani
Kuna taarifa nimezipata muda huu kuwa, CCM ipo hoi bin taaban kiinteligensia, CCM ilitegemea kupata taarifa za wenzao Wa Ukawa kirahisi, lakini hadi sasa haijapata siri yoyote dhidi ya Ukawa hivyo kuwa katika wakati mgumu kimaamuzi na kimkakati... nanukuu "Tuliyemtegemea kupata taarifa zao ni yule kagenzi lakini Chadema Intelligence ndo hivyo tena ikamshtukia, sasa kwa sasa our team haipati taarifa zozote.....kuna yule mwingine naye tulimtegemea sana, kama wangekubaliwa kujiunga na huo umoja wao tungefurahi sana lakini jamaa wamemgomea..." amesema kiongozi mmoja wa juu wa CCM.
My. take:wakuu hali ni mbaya zaidi ya tunavyoweza kufikiri..
mkuu hali mbaya sana, sijajua umemaanisha nini lakini hali ni tete...
Wangeingia mkenge wa kumuingiza --------- Supreme Leader muda CCM wangekuwa wameshajua kila kitu.
JF siku hizi imekuwa kichekesho kweli, yaani inakuwaje mna-black-out hata jina la kiongozi wa chama? Na hapa bado mnapiga vita Cyber Crime Act na wakati nyie nao pia mnaminya uhuru wa watu? Yaani leo Z.i.tt.o kawa nani hata hasitajwe kwenye public domain? This is crazy.
Msaliti asitishiwe salary kazi imemshinda