Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 545
- 268
Kweli ccm imekwisha na iko icu. Leo hapa iringa toka asubuhi wanahamasisha mkutano wao lakini hakuna kitu. Sasa hivi wamekodi boda boda lakini hakuna kitu. Watu wa boda boda wanazunguka mjini lakini wapi. Jana watu kwenye mkutano wa CDM watu walikuwa nyomi.
iki si ndio kile chama chenye mtandao mkubwa na zaidi ya wanachama milioni 5?
Kwa hiyo wingi au uchache wa watu ndiyo uhai wa chama?
The unseen is illustrated by the seen.
chama unatafsiri kama nini kamuulize msajili wa vyama kabla ya chama kupewa usajili wa kudumu anaangalia vigezo gani ???kwa hiyo wingi au uchache wa watu ndiyo uhai wa chama?
the unseen is illustrated by the seen.