Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao,
Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia Viongozi wa dini mpaka mtu wa mwisho kabisa ambaye ni mkulima kwa ajili ya kulikabili hili dubwana, maana siku zote walikuwa wanatuzulumu kura zetu kwa viini macho sasa term hii hatuendi kupiga kura kabisa unafikili kutatokea nini?
Naiona inchi yangu inaenda kusambaratika,simuoni mtu atakayewe kutuliza hii taharuki,tena kuanzia makanisani,misikitini,vyuoni makazini na kila sehemu
Yajayo yanatisha
Kama sisi wameshindwa kubadilisha katiba kwa amani inchi inaenda kuacha doa kubwa kabisa sizani mama yangu samia kama ataweze