Sitaki kuamini kuwa Ccm huo ndo mwisho wao wa kufikiri ila naamini mwisho wao umekaribia.
Kama hukubaliki hukubaliki tu
Hili la DP WORLD wapambe wako mama kuna muda watakuruka.
Sms hiyo ingetoka kwa Mbowe au Bagonze yangekuwa mengine sasa hivi ila kwa vile ni nyie poa tu, ila halotel wajitafakari kuidandia siasa.
Rais kemea mambo ya udini hata kifinafiki tu, kuliko kuwa kimya kama vile unakubaliana na hiyo hali muda unavyozidi kusonga kuna mengine hutoweza kujinasua au kuyakwepa!