Ccm wanapewa kiburi na wananchi wenyewe, mabaya meng yanaanikwa lakn mwsho wa siku njaa ya wabongo inapelekea kununuliwa kama karanga na kufanywa makuhad wa wasariti, kwa mfano wote wanaotetea serikali mbili na huku wakijua fika si maazimio ya wananchi. Kuna watu wamekubali kurubuniwa kwa vj sent kdgo na ccm ili kutengeza propanga za kuwahadaa wananchi waone mawazo yao hayakuwa sahh. Nchi hii ni ya wananchi lkn ccm wanajifanya wao ndio miungu wa nchi hii na kwamba bila wao nchi haitakwenda kumbe sivyo. Katiba mpya ni muhimu japo hila za ccm zinachelewesha. Wanasema "ngoma ikilia sana mwisho hupasuka" nnacho kiamini pamoja na hila zote za ccm hawana mwendo wa hatua kumi mbele wataumbuka vibaya, kwakua sauti ya wanyonge ni sauti ya Mungu.
wanabodi
naleta mada tofauti kidogo
baada ya kuonekana ccm wanajadili kitu tofauti na rasmu iliyoewasilishwa sasa ni muda muafaka wana cdm,cuf and nccre pia na washiriuka wao wa karibu kukutana kwa dharura kuijadili rasmu ya katiba mpya mahala popote kwa wiki 2 mfululizo huku wakilipia airtime ya tv kwa ajili hiyo; watafutwe wadau wa maendeleo ya maendeleo ili kusudi hoja zilizopo ktk rasmu ya jaji warioba zijadiliwe bila uwepo wa ccm na hili lifanyike kabla ya bunge maalum ya katiba; hii itaongeza zaidi uelewa wa wananchi ktk maswala ya katiba na kuelewa ni jinsi ngani ukawa wanatetea rasmu ambayo waliiunda wao wenyewe; hii itakuwa pigo la mwisho kwa ccm maana baada ya hapo hawatakuwa na namna zaidi ya kuhakikisha wanajadili kilichoandikwa au wanajitoa kwa mantiki ile ile ya kutoenda ktk bunge maalum. Ktk bunge hili jipya basi lijiendendeshe kama bunge maalum kivuli ili wakati wa kura za maoni iwe rahisi kupata kura za wapenda haki na maendeleo wa nchi hii; hili pendekezo naoma lifanyiwe kazi na wadau wa maendeleo na ijulikane hili linaruhusiwa kisheria na kiutaratibu hivyo mhimu ukawa wakaliona maana kinachofanywa na ccm ni k uongeza coverage ya maoni yao potofu kabisa katika wana wa nchi hii ya maziwa na asali yaani tanzania
kawaambie wapumba.vu wenzio wenye akili hatujui hata unaowaongelewa au kulelewa.ccm ni baba yako. Imekulea imekukuza na kukusomesha ----- ww
Bila shaka mleta uzi huu pamoja na kutoa rai wachangiaji kuweka kando itikadi zao ila hata wewe hiyo title yako inaonesha unatokea UKAWA...! Hivyo unataka mawazo ya UKAWA zaidi na siyo ya chama cha siasa. Ni maoni yangu tu nilivyoona.
Mimi huwa sina chama.
...nilikuwa ccm nikajitoa rasmi 2012 baada ya ufisadi, ujangili na dhuluma kushamiri !
ccm kwa nini hawataki kuheshimu maoni ya wanachi kuhusu swala la katiba mpya hatutengenezi katiba ya ccm tunatakiwa kutengeneza katiba ya wananchi ni laana ya usaliti na uchakachuaji wa maoni ya wananchi itawaondoa madarakani kabla ya mwaka 2015
Wanabodi
Naleta mada tofauti kidogo
Baada ya kuonekana CCM wanajadili kitu tofauti na rasmu iliyoewasilishwa sasa ni muda muafaka wana CDM,CUF and NCCRE pia na washiriuka wao wa karibu kukutana kwa dharura kuijadili rasmu ya katiba mpya mahala popote kwa wiki 2 mfululizo huku wakilipia airtime ya TV kwa ajili hiyo; watafutwe wadau wa maendeleo ya maendeleo ili kusudi hoja zilizopo ktk rasmu ya jaji warioba zijadiliwe bila uwepo wa ccm na hili lifanyike kabla ya bunge maalum ya katiba; hii itaongeza zaidi uelewa wa wananchi ktk maswala ya katiba na kuelewa ni jinsi ngani Ukawa wanatetea rasmu ambayo waliiunda wao wenyewe; hii itakuwa pigo la mwisho kwa ccm maana baada ya hapo hawatakuwa na namna zaidi ya kuhakikisha wanajadili kilichoandikwa au wanajitoa kwa mantiki ile ile ya kutoenda ktk bunge maalum. Ktk bunge hili jipya basi lijiendendeshe kama bunge maalum kivuli ili wakati wa kura za maoni iwe rahisi kupata kura za wapenda haki na maendeleo wa nchi hii; hili pendekezo naoma lifanyiwe kazi na wadau wa maendeleo na ijulikane hili linaruhusiwa kisheria na kiutaratibu hivyo mhimu Ukawa wakaliona maana kinachofanywa na ccm ni k uongeza coverage ya maoni yao potofu kabisa katika wana wa nchi hii ya maziwa na asali yaani Tanzania
Mkuu, hapo umenikumbusha hadhithi ya vazi la mfalme ambaye watu walimuona hakuvaa chochote ila wakiogopa kusema, mtoto ndipo alipopiga kelele kuwa mfalme hana chochote ndipo wakasituka na ikawa aibu kwa mfalme. Sio utani Rais kauharibu mjadala wa BMK lakini watu wanasukumia UKAWA!Tatizo ni Raisi kutoa hotuba ya chama kwenye Bunge la Katiba
Katiba mpya haukuwa mpango wa ccm bali ni dhamira binafsi ya rais kikwete, na amekwama baada ya kushinikizwa na makada wenzake ndani ya ccm, kwa kupenyeza rasimu ya chama badala ya ile iliyopendekezwa na tume kwa niaba ya wananchi!
ccm ni baba yako. Imekulea imekukuza na kukusomesha ----- ww
na mm nimeongelea uimara wa ccm na jinsi itakavyodumu madarakani
Hali ni mbaya upande wa ccm baada ya hila zake za kuchakachua rasimu ya katiba iliyowasiliswa na Tume ya Jaji Joseph Warioba kubainika.
Imebainika kwamba kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, 2012, waliojitoa kwenye bunge maalumu la katiba ni ccm.
Kujitoa kwa ccm kisheria kunatokana na uamuzi wao wa kuachana na rasimu iliyowasilishwa na Tume na kuamua kujadili rasimu iliyowasilishwa na kikundi fulani cha ccm kinyume cha sheria ya mabadiliko ya katiba.
Aidha kauli za baadhi ya makada wa ccm ambao wameonyesha kukerwa na hila hizi na kuweka wazi kuwa itakuwa ngumu katiba kupatikana bila UKAWA, kauli ya msajili kuwataka ccm warejee kwenye rasimu ya warioba, na ukimya wa walioandaa rasimu ya ccm vinaashiria hali ni mbaya ndani ya ccm.
Hivi sasa kuna mnyukano ndani ya ccm ambapo wakongwe wanadai hakukuwa na haja ya kuigharimu nchi kwa kuanzisha mchakato wa katiba na mwisho wa siku kuyakataa maoni ya wananchi.
NB
Tujadili bila kuweka ushabiki wala itikadi.
Hili ni suala la kitaifa.
Rudini bungeni mkajadili rasimu ya pili ambayo ndiyo maoni ya watanzania.
Nimemnukuu askofu niwemugizi.
Ccm ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo
Serekali 3 ni kifo kwa ccn.
umeandika ukweli mtupu ! Ccm imejinasisha yenyewe ! Lakini tuliwajulisha mapema sana kuhusu hili .
na mm nimeongelea uimara wa ccm na jinsi itakavyodumu madarakani
Mkuu, TEC inajua fika kuwa UKAWA ni WANANCHI ila sijui kuna nini kinachofanya kila mtu awaseme UKAWA kana kwamba ndio CHANZO cha BMK kukwama. Wengi hawasemi na kuilaumu CCM kwa kusababisha hali hii kwanza kwa kutoijadili Rasimu ya katiba iliyowasilishwa na tume na pili lugha chafu waliyokuwa wakiitumia wabunge/jumbe wake mpaka kupelekea UKAWA kususia vikao. Kwanza aliyeanzisha UKAWA ni hao hao CCM.