CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

Huyo mama tangu mwanzo alikuwa ccm.
Kumbuka hotuba aliyoitoa siku ile ya magufuli alipokuwa rais.
Na kama unavyojua ukitaka kuwin moyo wa mkulu msifie.
 
Huyo mama tangu mwanzo alikuwa ccm.
Kumbuka hotuba aliyoitoa siku ile ya magufuli alipokuwa rais.
Na kama unavyojua ukitaka kuwin moyo wa mkulu msifie.
wew msie tu lazima ule au siyo ila mimi naona kama anabomoa act
 
Wenye wivu wajinyonge Kama ulitaka uteuliwe ww utasubiri sanaaa kwani ww hata kwako inaonekana una ubaguzi kwa watoto wako subiri siku wakijua kuwa ndo uko ivo utajambaaaaa siku hiyo
 
Natamani hadi uchaguzi wa viongozi wa mashina, matawi na Kata wawape wapinzani
 
Ccm ikubali tu kuwa wameishiwa wenye mikia na sasa mwenyekiti anafanyakazi na waliokatwa mikia! Tatizo LA wanaccm in kuwa wapiga dili hakuna mzalendo humo!
Hongera mkulu kwa kuwanyoosha ccm.
 
Yaani kuna watu wengine vichwa vyao mbofu mbofu kila siku kulalamika tu.
Akichagua Ccm wenzake Nyuzi kibao za malalamiko na akichagua tofauti na Ccm bado mnalalamika daaah.
 
Boss wa chama kastuka ccm sasa imejaa wasanii na waedete sauti za watu kastuka magu noma sana hahhahah hakuna lizabon, wala yehodaya,simiyu yetu,kakimbia kabisa njaa kali stroke, nae kapatwa na kiwewe siku hizi michango na upotoshaji wao umebaki nusu mlingoti ccm nyang'anyan'ga ndembe ndembe kifo cha mende chaliiiiii..!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom