CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM.
Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia Chadema hawataweza kufanikiwa.
Hilo ni kujidanganya na Chadema wanaendelea kukubalika wanazidi kuonekama wazalendo zaidi kwa wananchi bila hata mikutano maana watanzania wa siku hizi ni waelewa