GE2025 CCM haipo mioyoni mwa Watanzania kama ilivyo CHADEMA. Hata kama itashinda uchaguzi ni sababu ya mikakati wanayoitumia kila chaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Swali ni je, ipo kwenye mioyo ya watanzania ambao hawana uhakika wa maji, chakula na mahitaji muhimu baada ya miaka 60 ya uhuru
kila kitu hujengwa kidogo kidogo, lakini pia serikali ni watu wewe ndo unaweza kuvusha nje yako kwenda sehem kubwa zaidi, izo siasa za maji toka uhuru zishapitwa na wakati
 
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
Ccm ni 👉💩💩💩
 
Kwa sasa chama kinachoaminika na wananchi ni chadema...
 
Hilo lipo wazi kabisa - na ndiyo maana wakiruhusu reforms tu wanajua fika wamekwenda na maji.
Lissu na CDM mmewakata patamu saana hao jamaa, wananchi tunawapa support kubwa na mataifa wapenda demokrasia watawasaidia kushinikiza hizo reforms. Endapo CCM watagomea reforms na kuendelea na mchakato bila ushiriki wa CDM they know what will happen there after.
 
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
Watu ni nani sasa? Maroboti kwenye mitandao. Acha upuuzi wewe
 
ukubwa wa chama ni kua na wanachama wengi
Uko sahihi kabisa, lakini ubora ni jambo jingine kabisa. Yaani mimi kama mimi na dunia ya kisasa haijivunii ukubwa, bali hujivunia ufanisi.
 
ufanisi gan mnajivunia? hamna dira na siasa zenu ni za vurugu badala ya maisha ya tanzania
 
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
Hadi wewe??? Kweli mambo yamenoga sana
 
yaaani ukisikia ujingha ndiyo huu unaoongea wewe nani kakuambia chadema iko mioyoni mwa watu wote mbona kwangu haimo mbona kwa samia haimo au sisi unatuona siyo watu ila wewe tu ndiyo mtu acha ujinga usituamlie wote kila mtu ana maamuzi yake
 
Back
Top Bottom