GE2025 CCM haipo mioyoni mwa Watanzania kama ilivyo CHADEMA. Hata kama itashinda uchaguzi ni sababu ya mikakati wanayoitumia kila chaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
 
umekula kijana?
 
cha kufanya ni hiki
 
Attachments

  • downloadfile-211.jpg
    downloadfile-211.jpg
    630.7 KB · Views: 22
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
Huu utafiti ni wa kweli kabisa. Chama Cha matapeli CCM
 
Utafiti umefanywa na nani? Utafiti wako ni batili! Acha kuwapaka CHADEMA mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli.

CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru.

Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio wanafaidi matunda ya taifa hili. Maisha duni kabisa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60.

Watu wanaikubali CHADEMA ya Lissu maana haipo kibiashara na kujaza matumbo na ina muelekeo wa kuleta mabadiliko kwa Watanzania. Kwa ujumla wanaikubali watanzania 70%.
Ikumbukwe kuwa,pindi Mwashamba,Tlatlah,Stakehigh na Chiembee wakielewa kama wewe ndugu yao Tanzania itakuwa zaidi ya salama.!
 
Back
Top Bottom