upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 476
Ccm waoga sana
Majigambo yote yale lakini inakuwaje wanaogopa Uchaguzi!?CCM imekuwa ya kufunga ofisi na makufuli na watendaji kukimbia ofisi. Na bado watateseka sana
Wananchi hawaitaki wanalazimisha tuuMajigambo yote yale lakini inakuwaje wanaogopa Uchaguzi!?
Yaani hata mimi sikutegemea CCM safari hii wamekuwa waoga hivi yaani tuvyama twa upinzani vitatu vinawatoa jasho na hapo walinyima hata kufanya kampeni na mikutano ndio utakavyochoka.Si mtaani kwetu ingekuwa Enzi za kusimamisha nyundo na mtu wangechagua nyundo kweli watu wamechoka mpaka basiMajigambo yote yale lakini inakuwaje wanaogopa Uchaguzi!?
Siyo mpumbafu kichaa.Ogopa sana mpumbavu anapojaribu kulinda "Legacy" yake, atatumia kila mbinu kubaki alivyo!!
Taarifa za uhakika ni kwamba polisi nao wako mbioni kuikana , watabaki na wasiojulikana wasiofika hata 200 .CCM haiamini tena kama kuna watanzania wa kutosha watakaopiga kura kwenye uchaguzi wowote ule na kukichagua chama hicho.
Vitendo vya kupora Fomu za wagombea wa vyama vingine, kufunga Ofisi ili fomu zilizochukuliwa zisirudishwe, kuzuia wagombea wa vyama vingine kuchukua fomu, na kuruhusu kila aina ya uhuni kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa ni dalili kwamba CCM haina Imani tena ya kuchaguliwa na watanzania kwenye uchaguzi ulio huru.
Kama CCM ingekuwa ina imani kwamba watanzania wataichagua bila ya shaka hizi sarakasi zote tunazoziona zisingekuwepo.
KIZA KINAPOKUWA KINENE NDIPO KUNAPOKARIBIA KUCHA!!
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Yaani Madrimulaina mpaka sasa hayajasaidia kupendwa na Watanzania?
Kweli.kabisa na wajue siku watamtoa mbowe na maalimu sef kwenye ulingo wa siasa wajue hali ya Tanzania itakuwa mbaya Sana manake ndio wanaowapoza wananchi kuwa na na amanKila chenye mwanzo, Hakikosi kuwa na mwisho. Haijalishi ni mwisho wa aina gani. Hao wanaojiona ni bora zaidi watafika mwisho wala hakuna atakaewakumbuka. Watasahaulika kabisa. Manung'uniko ya watu yakiwa mengi sana hugeuka kuwa laana. Wenye hekima hujihadhari na kujiepusha na manung'uniko kwao.
Bila uhuni CCM hawawezi kushindaCCM haiamini tena kama kuna watanzania wa kutosha watakaopiga kura kwenye uchaguzi wowote ule na kukichagua chama hicho.
Vitendo vya kupora Fomu za wagombea wa vyama vingine, kufunga Ofisi ili fomu zilizochukuliwa zisirudishwe, kuzuia wagombea wa vyama vingine kuchukua fomu, na kuruhusu kila aina ya uhuni kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa ni dalili kwamba CCM haina Imani tena ya kuchaguliwa na watanzania kwenye uchaguzi ulio huru.
Kama CCM ingekuwa ina imani kwamba watanzania wataichagua bila ya shaka hizi sarakasi zote tunazoziona zisingekuwepo.
KIZA KINAPOKUWA KINENE NDIPO KUNAPOKARIBIA KUCHA!!
Jamaa Hana historia ya kushinda chochote zaidi ya kubebwaMajigambo yote yale lakini inakuwaje wanaogopa Uchaguzi!?
Wanaitwa wazarendo, sio Wazalendo!Kilichobaki huko tz ni kiwanda cha wajanja wachache wanatafuna nchi kimya kimya
Kwani ilishawahi kuwa na imani na raia?CCM haiamini tena kama kuna watanzania wa kutosha watakaopiga kura kwenye uchaguzi wowote ule na kukichagua chama hicho.
Vitendo vya kupora Fomu za wagombea wa vyama vingine, kufunga Ofisi ili fomu zilizochukuliwa zisirudishwe, kuzuia wagombea wa vyama vingine kuchukua fomu, na kuruhusu kila aina ya uhuni kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa ni dalili kwamba CCM haina Imani tena ya kuchaguliwa na watanzania kwenye uchaguzi ulio huru.
Kama CCM ingekuwa ina imani kwamba watanzania wataichagua bila ya shaka hizi sarakasi zote tunazoziona zisingekuwepo.
KIZA KINAPOKUWA KINENE NDIPO KUNAPOKARIBIA KUCHA!!
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo kiwewe chao dhidi ya wananchi kinavyozidi kupanda!!Kwani ilishawahi kuwa na imani na raia?
Yaani pamoja na yale madege yao, stigers, bado hawajiamini kabsaCCM haiamini tena kama kuna watanzania wa kutosha watakaopiga kura kwenye uchaguzi wowote ule na kukichagua chama hicho.
Vitendo vya kupora Fomu za wagombea wa vyama vingine, kufunga Ofisi ili fomu zilizochukuliwa zisirudishwe, kuzuia wagombea wa vyama vingine kuchukua fomu, na kuruhusu kila aina ya uhuni kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa ni dalili kwamba CCM haina Imani tena ya kuchaguliwa na watanzania kwenye uchaguzi ulio huru.
Kama CCM ingekuwa ina imani kwamba watanzania wataichagua bila ya shaka hizi sarakasi zote tunazoziona zisingekuwepo.
KIZA KINAPOKUWA KINENE NDIPO KUNAPOKARIBIA KUCHA!!
Sijaelewa ni kwa nini!!Yaani pamoja na yale madege yao, stigers, bado hawajiamini kabsa