Habari za kweli kutoka ndani ya team lowassa na ukawa kwa ujumla zinasema kuwa kutokana na hali ya mambo ilivyo na inavyozidi kuwa ngumu kwa lowasa, amekata tamaa na kuamua kulisukuma ivo ivo. Mtu wake wa karibu ameeleza kuwa mzee amepima kina cha maji ameona ni kirefu. Hivi sasa anafunika kombe ila undano wake halo ni mbaya. Ana mawazo sana. Anaikumbula sana ccm. Anai miss. Ndio mana juzi tabora aliiombea kura