User name yako inajielezea sina la kuongeza
naomba muwachague viongozi wa ccm kuanzia urais, udiwani na ubunge - hamisi mgeja tabora, sept 2015.
Kumbuka kwamba asilimia 50 ya kura zake zitatoka kwa wanaCCM. Hiyo sio kwamba alikosea - huyu bwana ni master politician.