Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
By the way, let's say amekosea na kujikuta ametamka hivyo, je inabadirisha nini hiyo?
Na hii je?
Hajakosea kitu,
hata wewe unaweza kumkumbuka mtu aliyekuudhi miaka ya zamani
ili ageuke aangalie mafanikio yako.
Na hii je?
PipozzzzNa hii je?
Na hii je?
Mzee alikuwa anapima upepo!hajaamini kama nyomi yote ile ni ya ukawa!
Habari za kweli kutoka ndani ya team lowassa na ukawa kwa ujumla zinasema kuwa kutokana na hali ya mambo ilivyo na inavyozidi kuwa ngumu kwa lowasa, amekata tamaa na kuamua kulisukuma ivo ivo. Mtu wake wa karibu ameeleza kuwa mzee amepima kina cha maji ameona ni kirefu. Hivi sasa anafunika kombe ila undano wake halo ni mbaya. Ana mawazo sana. Anaikumbula sana ccm. Anai miss. Ndio mana juzi tabora aliiombea kura