CCM fungueni macho

CCM fungueni macho

Ukawa ni watu wa kujionyesha, wabishi makelele tuuu, sasa ccm weng saiv wamejua ukitaka kubishana nao wanakua kimya ila kwenye sanduku ndo mpango mzima, maana unaweza umiza mishipa ya taya kujibishana nao. Sasa kule ndo kiboko ya wote. MAGUFULI FOR CHANGE

Sasa utabishana nn wakati unajua tembo wanauwawa na katibu mkuu wako, viwanda mmeua, umeme shida, n.k. Dawa yenu mpaka ss ni ndogo sna, kutibua mbinu zenu za kuiba kura bac.
 
Lowassa, UKAWA mpango wa MUNGU...!!!

Siku hizi hadi VIWANJA vya Mpira, maharusini, masokoni, viwandani, mashambani, vijijini, mijini, vyuoni, mashuleni, kila sehemu ni.

MABADILIKOOOOOOOOOOOOO.... LOWASSAAAAAAAA......

Lowassaaaaaaaaaa..... Mabadilikooooo...

Yaani hakuna mtu anataka kuisikia CCM...!!

Wananchi 95% wamegundua ADUI YAO NI CCM.... CCM ishakufa..!!!

CCM out...!!!
 
Lowassa Mpango Wa Mafisadi Yeye Mwenyewe Akiwa Ndo Rais Wao "fisadi Papa" Hence Proved.....
 
Sijapata nafasi ya kusafiri kwenda mikoa ya kusini naagharibi lakini huku Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kagera ni 90% UKAWA! Kila mtu ni Lowasa ndo rais

Wanataka kuwaaminisha watu kuwa ccm bado inapendwa na watu na sio kuhitajika na watu.Lengo siku ya kupiga kura wachakschue bila sinto fahamu.
 
Sasa utabishana nn wakati unajua tembo wanauwawa na katibu mkuu wako, viwanda mmeua, umeme shida, n.k. Dawa yenu mpaka ss ni ndogo sna, kutibua mbinu zenu za kuiba kura bac.

Ndomaana tunasema MAGUFULI FOR CHANGE...
 
Back
Top Bottom