CCM fanyeni yote, lakini mtakosa POLITICAL LEGITIMACY mbele ya watanzania na duni nzima kama hamkufanya necessary reforms as proposed by Chadema

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force.

High legitimacy means citizens voluntarily obey laws and support the government's actions because they accept its authority, leading to greater stability and effectiveness.

Legitimacy can be based on various foundations, such as public consent in a democracy or shared values, and is crucial for governance without constant coercion.
 
Hatari sana 2020, 2024, 2025 ndo itakua funga kazi , ccm ni ya kung'oa madarakani
 
Mtu unakamia madaraka mpaka unaoneka kituko, inasikitisha sana kwa kweli
 
CCM ni wataalamu wa kushupaza shingo a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Ogopa sana ulevi wa madaraka! Amini usiamini, huu ushauri wako kuna watu watauchukulia kama vile umeletwa na mtu aliyechanganyikiwa akili! Yaani watakuwa wanakushangaa tu!

Kwao wanaona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo, kwa sababu mpaka leo bado wanaamini wananchi walip wengi wanawapenda sana! Kumbe ukija kwenye uhalisia, ni polisi tu na tume ndiyo wanaoamua ushindi wao.
 
Unapo amua kuandika uzi kwa kiswahili basi andika kwa kiswahili tu usituchanganyie lugha wengine hatuna muda wa kutafsiri.........
 
CCM na Serikali yake zipo imara na nchi inakwenda ikiwa na amani na utulivu wa kisiasa. Haya ya kwenu ni porojo tu za mitandaoni. Kawaulizeni wenzenu wa Msumbiji walivyoingizwa mkenge na Mondlane!
 
CCM na Serikali yake zipo imara na nchi inakwenda ikiwa na amani na utulivu wa kisiasa. Haya ya kwenu ni porojo tu za mitandaoni. Kawaulizeni wenzenu wa Msumbiji walivyoingizwa mkenge na Mondlane!
Nimekutana tusi kubwa sana
 
Alishasema Dr Tulia kwenye risala yake kwa Rais: wanaomtukana Rais ni wachache kuliko wanaomsapoti. Ukitaka legitimatacy kwa Dr Slaa au kwa Lissu au kwa Bagonza hutoipata but that,s only 7 npp"NO" votes. How about the multitude at Kisimkazi, Nzega and Handeni?
 
Chadomo mtatumikishwa sana n Mabeberu lakini Kwa Tanzania sahauni
 
ccm ndo chamq kikubwa afrikq nzima
 
Who cares? Mtatufanya nini?
 
Chadomo mtatumikishwa sana n Mabeberu lakini Kwa Tanzania sahauni
Beberu mnae nyie ndani ya chama chenu ndugu yenu A to Z .Anaiba mkaa ambao ni urithi wa wajukuu zenu, migodi mnampa bure, mbuga za wanyama n.k ninyi mnakenua meno ilihali watoto wenu shuleni wanakaa chini kwenye vumbi.
Msikilize Polepole vizuri, kama hujamsikia sema nikutumie clip umjue beberu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…