CCM fanyeni juu chini Dr. Slaa arudi Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM fanyeni juu chini Dr. Slaa arudi Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utemi, May 19, 2011.

 1. utemi

  utemi Senior Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli usiopingika kuwa 2015 ccm hawatakuwa madarakani tena. Nawashauri wafanye juu nchini Dk. Slaa arudi bungeni labda huko wataweze kumzibiti...!!

  propaganda zao mshahara, amani kutoweka na kadhalika havitasaidia.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha,hakuna kitu,...
  bungeni kuna Tundu lissu ana muwakilisha,.
  ana faa zaidi kwa moto anao chochea huku uraiani!
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Dr wa ukweli yuko flexible vibaya,multiroles na kila namba yeye ndo kiungo mchezeshaji...wee,ccm waumie tu!
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mzee slaa alisema hatogombea tena wakati wa kampeni za uchaguzi ... kama akirudi tena sitamuelewa zaidi ya kumuona kigeugeu...
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  too late.
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  ha ha ha mzee unataka kuniambia dr ni kama vile iniesta au xavi pale barca??? swafii saaaana.
   
 7. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aaah mkuu hapa alipo sasa ndo patamu zaidi.....bungen full fitna...walisema hiv ni vyama vya msimu...acha awaonyeshe kazi ndo anatengeneza kaburi la ccm..
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  abaki njee huku anawasha moto wenye makali sana.
  Njee ya bunge Dr kaisumbua CCM zaidi
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,166
  Trophy Points: 280
  CDM inajitoshereza ni active sehemu zote bungeni na nje ya bunge kwa hiyo alipo ni mahala pake unaona wanavyolialia ni zaidi ya mwaka jana alipokuwa bungeni.
   
 10. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jk amteue kuwa mbunge nini???
  Dr wa ukweli ndie rais wangu wa moyoni
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Akae bungeni na huko vijijini nani atahamasisha maandamano?

  Dr wa maandamano wacha akae uraiani maana kule bungeni hamna maandamano:biggrin1:
   
 12. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndoto za Mchana!
   
 13. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sawa Josephine!
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hivi JK anavyosoma hii post yako anajisikiaje??
   
 15. l

  lyimoc Senior Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mwaka mmoja bado ndio kwanza kazi inaanza kuna miaka 4mbele ccm wataimaliza salama ?salam kwako JK
   
 16. Josephine

  Josephine Verified User

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mapambano yataendelea hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke.Anawapenda watanzania wote na atapambana wakombolewe ukiwamo wewe na familia yako.KARIBU
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa ana kazi moja tu ya kuuthibitishia ulimwengu kuwa yeye ndiye alichaguliwa na watanzania kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini NEC,TISS na MAFISADI wakafanya mapinduzi wakampa urais JK. Maandamano yanayoendelea nchi nzima hivi sasa na jinsi yanavyoungwa mkono na mamilioni ya watanzania ni kielelezo tosha kuwa watanzania wanamuamini Dr. Slaa na CDM kuliko CCM.Anayebisha aangalie mahudhurio kwenye mikutano ya Mukama na Nape jinsi ilivyodorora.Jamani tuache ubishi zama za CCM zimekwisha.HAKUNA KULALA MPAKA TUMUUE NYOKA ANAYEJIDAI KUVUA MAGAMBA WAKATI SUMU NDIYO INAZIDI UKALI
   
 18. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  napenda slogan yako Quinine. ni ya kweli tupu!
   
 19. Ruwa tutarame

  Ruwa tutarame Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina haja ya kurudi alikopanatosha sana tuuuuu lakini!!
  kikwete 2005 tulimpenda sana tukampa urais ameshindwa kazi
  na huyu asije akawa kama jk
   
 20. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  In any battle, an enermy should be cornered in all spheres.
   
Loading...