CCM Diaspora tunatoa pongezi kwa Chama chetu kumaliza chaguzi za chama kwa Mafanikio makubwa

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
Umoja wa Watanzania Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tuishio nje ya nchi (CCM DIASPORA) tunapenda kuchukua nafasi hii kukipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kufanikisha chaguzi zake za ndani kwa mafanikio makubwa.

Ikumbukwe kuwa chaguzi hizi za ndani ya chama zilianza Aprili 2017 kwa kuanzia na ngazi ya Mashina ambayo ndio ngazi ya chini ya Chama na kufikia tamati Desemba 2017 kwa kuchagua viongozi wa ngazi ya kitaifa ya Chama.

Kutokana na mchakato huo wa uchaguzi Chama kimeweza kupata viongozi wake wa Mashina, Matawi, Wilaya,Mikoa,Jumuiya za chama (UVCCM,UWT na Wazazi) pamoja na viongozi wetu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar lakini pia Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia uteuzi wa katibu mkuu wa chama.

CCM DIASPORA inapenda kuchukua nafasi hii kuzipongeza kamati zote za chaguzi tokea ngazi ya Mashina hadi ngazi ya Taifa kwa kufanikiwa kuandaa na kusimamia chaguzi hizo kwa mafanikio makubwa sana ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo ambazo ni kawaida kujitokeza katika chaguzi mbalimbali. Pia tunapenda kusisitiza kuwa kamati hizo zisisite kuchukua hatua stahiki za kinidhamu popote pale itakapobainika kuwa taratibu za uchaguzi zilikiukwa.

Aidha CCM DIASPORA inapenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wote waliochaguliwa katika ngazi mbalimbali za chama kwa ushindi wao ambao ni ishara tosha ya kuaminiwa kwao na wana CCM wenzao kiasi cha kupewa dhamana ya kukitumikia chama kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

CCM DIASPORA tunapenda kuamini kuwa viongozi wetu hao waliochaguliwa wataweza kutimiza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa huku wakitanguliza mbele maslahi mapana ya watanzania watakaowaongoza kutoka katika maeneo yao husika.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa watakuwa ni daraja imara kati ya watu wanaowaongoza na Serikali yao .Wataweza kuwatetea na kuwasemea watanzania wa aina zote kutoka kwenye maeneo yao ya uongozi na pia kutatua kero mbali mbali zitakazokuwa zikijitokeza.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa waliochaguliwa ni timu imara kabisa itakayozidi kuifanya CCM ing’are na iwe madhubuti zaidi na hivyo kuihakikishia ushindi wa kishindo katika chaguzi mbali mbali zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu wa 2020.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa ushindi uliopatikana kwa viongozi wetu hawa ni ushindi wa wana CCM wote wakiwemo hata wale waliochuana nao na ambao kwa bahati mbaya kura zao hazikutosha.

Rai yetu ni kuwa tuungane kwa pamoja na hata kuvunja makundi tuliyokuwanayo kipindi cha kampeni na hata uchaguzi wenyewe .Tuwe kitu kimoja katika kukijenga na kukiimarisha Chama chetu lakini pia kushughulikia kero na matatizo yaliyopo na yanayoweza kujitokeza ndani ya jamii ya watanzania.

Chama Cha Mapinduzi sasa kimefanya mageuzi makubwa ya kimfumo,kimuundo na kiutendaji.CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa waliochagulia watayasimamia vyema mageuzi haya na hivyo kuyafanya yawe ni umageuzi yanayoakisi uhalisia wa kuanzishwa kwake.

CCM DIASPORA tunapenda kumalizia kwa kusema kuwa tuna imani kubwa sana na viongozi wote waliochaguliwa na tunaahidi kufanya nao kazi bega kwa bega ili kuendelea kukijenga na kukiimalisha Chama chetu.

NB: CCM DIASPORA NI UMOJA WA MATAWI YAFUATATO:

1: CCM-Tawi la China.
2: CCM UK.
3: CCM Italy
4: CCM California
5: CCM Tawi la Texas
6: CCM Tawi la Canada.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Eng.Marco Mwaimise
Kwa niaba ya CCM DIASPORA
22/12/2017
 
nami ninaungana kutuma hongera nyingi kwa mwenyekiti Wa CCM Taifa,Mh Rais Wa Jamhuri ya muungano Wa Tanzania,Pia kwa kupata 100% ya kura.ninaomba Kati ya wajumbe 50 waliokuwa wameteuliwa kugombea NEC taifa ,waliopata ni 15, ninamba Mh mwenyekiti Wa chama chetu tawala uwakumbuke wale 35 ambao hawakupata kura za kutosha,ni hazina nzuri ndani ya chama chetu.
 
Uchaguzi?? Yaani mwenyekiti hapingwi wala makamu wote wawili alafu mnaita uchaguzi?? Hivi hayo yangefanyika CHADEMA si mngetukana mwaka mzima....... Huo haukuwa uchaguzi ila maigizo ya kuhalalisha watu fulani kubaki madarakani zaidi ya hapo hatutegemei jipya kutoka CCM maana kwa miaka 50 wamefeli kwenye kila kitu je watatumia muujiza gani wafanikiwe kubadilisha maisha ya watanzania ndani ya miaka 5 ilihali walishindwa tokea uhuru

Tumechoshwa na ahadi btw mtuambie maisha bora kwa kila mtanzania yaliishia wapi..... Kilimo kwanza je..... Kabla hata hamjatekeleza mmekuja na ngonjera za viwanda kana kwamba vinakuja kwa matamko ya majukwaani!!!! Inashangaza
 
Hata huko mlipo ndivyo wanavyoendesha chaguzi zao kwa namna hii?

Mgombea mmoja asie na mpinzani?

Au hiyo Diaspora yenu ni ipi, kule ilipokwenda ile ndge ya Malyasia?
 
Umoja wa Watanzania Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tuishio nje ya nchi (CCM DIASPORA) tunapenda kuchukua nafasi hii kukipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kufanikisha chaguzi zake za ndani kwa mafanikio makubwa.

Ikumbukwe kuwa chaguzi hizi za ndani ya chama zilianza Aprili 2017 kwa kuanzia na ngazi ya Mashina ambayo ndio ngazi ya chini ya Chama na kufikia tamati Desemba 2017 kwa kuchagua viongozi wa ngazi ya kitaifa ya Chama.

Kutokana na mchakato huo wa uchaguzi Chama kimeweza kupata viongozi wake wa Mashina, Matawi, Wilaya,Mikoa,Jumuiya za chama (UVCCM,UWT na Wazazi) pamoja na viongozi wetu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar lakini pia Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia uteuzi wa katibu mkuu wa chama.

CCM DIASPORA inapenda kuchukua nafasi hii kuzipongeza kamati zote za chaguzi tokea ngazi ya Mashina hadi ngazi ya Taifa kwa kufanikiwa kuandaa na kusimamia chaguzi hizo kwa mafanikio makubwa sana ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo ambazo ni kawaida kujitokeza katika chaguzi mbalimbali. Pia tunapenda kusisitiza kuwa kamati hizo zisisite kuchukua hatua stahiki za kinidhamu popote pale itakapobainika kuwa taratibu za uchaguzi zilikiukwa.

Aidha CCM DIASPORA inapenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wote waliochaguliwa katika ngazi mbalimbali za chama kwa ushindi wao ambao ni ishara tosha ya kuaminiwa kwao na wana CCM wenzao kiasi cha kupewa dhamana ya kukitumikia chama kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

CCM DIASPORA tunapenda kuamini kuwa viongozi wetu hao waliochaguliwa wataweza kutimiza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa huku wakitanguliza mbele maslahi mapana ya watanzania watakaowaongoza kutoka katika maeneo yao husika.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa watakuwa ni daraja imara kati ya watu wanaowaongoza na Serikali yao .Wataweza kuwatetea na kuwasemea watanzania wa aina zote kutoka kwenye maeneo yao ya uongozi na pia kutatua kero mbali mbali zitakazokuwa zikijitokeza.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa waliochaguliwa ni timu imara kabisa itakayozidi kuifanya CCM ing’are na iwe madhubuti zaidi na hivyo kuihakikishia ushindi wa kishindo katika chaguzi mbali mbali zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu wa 2020.

CCM DIASPORA tunaamini kuwa ushindi uliopatikana kwa viongozi wetu hawa ni ushindi wa wana CCM wote wakiwemo hata wale waliochuana nao na ambao kwa bahati mbaya kura zao hazikutosha.

Rai yetu ni kuwa tuungane kwa pamoja na hata kuvunja makundi tuliyokuwanayo kipindi cha kampeni na hata uchaguzi wenyewe .Tuwe kitu kimoja katika kukijenga na kukiimarisha Chama chetu lakini pia kushughulikia kero na matatizo yaliyopo na yanayoweza kujitokeza ndani ya jamii ya watanzania.

Chama Cha Mapinduzi sasa kimefanya mageuzi makubwa ya kimfumo,kimuundo na kiutendaji.CCM DIASPORA tunaamini kuwa viongozi hawa waliochagulia watayasimamia vyema mageuzi haya na hivyo kuyafanya yawe ni umageuzi yanayoakisi uhalisia wa kuanzishwa kwake.

CCM DIASPORA tunapenda kumalizia kwa kusema kuwa tuna imani kubwa sana na viongozi wote waliochaguliwa na tunaahidi kufanya nao kazi bega kwa bega ili kuendelea kukijenga na kukiimalisha Chama chetu.

NB: CCM DIASPORA NI UMOJA WA MATAWI YAFUATATO:

1: CCM-Tawi la China.
2: CCM UK.
3: CCM Italy
4: CCM California
5: CCM Tawi la Texas
6: CCM Tawi la Canada.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Eng.Marco Mwaimise
Kwa niaba ya CCM DIASPORA
22/12/2017
Awamu hii hakuna cha diaspora wala nini msihangaike bure endeleeni huko na mahangaiko yenu kama mtataka kurudi nyumbani mje mpambane na Maisha la mkiamua kubakia huko bakieni lakini huku mambo ya diaspora kaondoka nayo mwenyewe kikwete name mzee membe Kama mnataka siasa rudini nyumbani mje tupambane na hizo pasport zao muwarejeshee wenyewe.
 
Back
Top Bottom