hapo kwenye nyekundu, ndo ulichokuwa unamaanisha...? halafu kwani wewe umeshaacha unafiki, mbona bado unachangia kinafiki-nafiki...?Wana JF achane unafiki.
Hivi kweli wewe hujui ama hutambui hiyo ndoa ama unatoa maneno tu,uliza basi kwanza ueleweswe usibishe ovyo uliza wana Jf watakupa dada wamo wanafahamu vizuri tu.Mtoa mada nikikuita mnafiki,mzandiki,mfitini na muongo mkubwa nitakua nimekosea?kama kweli wekapicha utuoneshe hiyogari yenye bendera ya cuf ktk msafara wa ccm,wewe ni mzandiki.
Hilo si jambo la kushangaza
CUF wakubali tu kwamba ndoa imekolea
Mnafiki hajifichii.Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM kuenjoy ushindi wa dhuluma
CCM ina mitara! kulia ina CUF na kushoto inaburudika na Bakwata! Lakini basi watu wakipendana ndo hivyo tena!Hilo si jambo la kushangaza
CUF wakubali tu kwamba ndoa imekolea