CCM: Chama kizuri cha upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Chama kizuri cha upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Mar 25, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nimetafakari kwa kina nikagundua ccm kitakuwa chama kizuri sana cha upinzani baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ujao. Imagine Magufuli anachangia hotuba ya waziri wa ujenzi, Mwandosya anachangia wizara ya Maji. Sita anachangia hotuba ya waziri wa katiba na bunge. Na kwa ninavyoijua ccm itakuwa imewatema akina cuf, tkp nccr udp na wengine.. Naona upinzani utakuwa bora na utalenga kuijenga nchi maana hawatapata mizengwe kutoka chama tawala (chadema). Au wana Jf mnaonaje!?
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hata ukifuatilia kwenye halmashauri zinazoongozwa na upinzani utagundua kuwa madiwani wa ccm wamekuwa makini sana kwenye maswala ya maendeleo. Hakuna hoja za kipuuzi wala majibu ya kibabe na mipasho kama panapokuwa panaongozwa na ccm.
   
 3. papaa-H

  papaa-H Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na hii itakifanya chama tawala chadema kuwa active, hence maendeleo ya tz. this is what i hv bn praying for coz hakuna chama chenye hati miliki ya hii nchi .... utendaji kazi wa chama ndio utakaokiweka madarakani. Ndio maana hata CDM kikiwa madarakani siiombei ccm ife complitely kwani chadema kitakosa challenges na kubweteka
   
 4. J

  Joblube JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe kwa sababu kikishapigwa chini mafisadi yote yatakimbia nchi watabaki wale mitume 12 na wengine wazuri tu wengu walitemwa na CCM mtandao.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  That is what is happening kwenye majimbo yanayoongozwa na upinzani. Challenge ni kubwa kwa vyama vyote na maendeleo ni makubwa. Watumishi wa halmashauri wapo tight maana madiwani wote ni wakali.
   
Loading...