CCM (Chama Cha mapinduzi)

CCM (Chama Cha mapinduzi)

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,371
Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya mapinduzi gani? Kwa anae jua zaidi anijuze
 
ni mapinduzi kutoka uelevu na kuwa mbumbu kwa wadanganyika..
 
Kwa kuwatoa "wadanganyika" ktk nchi ya ujamaa na kujitegemea hadi kwenye unyama na kujimegea
 
Back
Top Bottom