CCM chali Rorya!

CCM chali Rorya!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
930
Reaction score
220
Hongera Kamanda Mwl. Jared Mwanga kwa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) wilaya ya Rorya!

Hii ni dalili tosha kabisa kwamba ukombozi unafika Rorya siku si nyingi. Na huu ni ujumbe na salaam kwa magamba wote wa Rorya.

Salaam zimfikie Lakairo na Genge lake akina Ongujo Wakibara na wahuni wahuni wote wa CCM ndani ya Rorya waliopanga kuhujumu ushindi wa Mwl. Jared Mwanga. Ni kwamba CCM hawana chao tena mwaka huu!

Mlimtumia majambazi nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo lkn kwa Mungu yuko upande wetu, shetani ameshindwa. Tulianza na Mungu Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu!

Mmetumia zaidi ya Million 100 kuwanunua walimu ili kufanikisha uhuni wenu lakini Mungu amewaumbua Lakairo na Ongujo.

Rorya ni yetu. Tunakuja kukomboa Rorya mwaka huu kutoka mikononi mwa mambumbumbu na wadhalimu wasiojitambua. Tunakuja Rorya. Ukombozi umefika.

NB: Mwl. Jared Mwanga mlimpa barua feki ya uhamisho kwa kushirikiana na wahuni wenzenu wengine serikalini na sasa amewaumbua mchana kweupe. Imekula kwenu!

Mwl. Jared Mwanga kura 105.

Genge la Ongujo kura 40.

Tofauti kura 65
 
Mkuu jacaDUOGO2. ulikuwa umepotelea wapi. Huyo mwalimu ni nani? Siasa za huko Rorya zikoje sasa manake nilishasoma humu kwamba kuna sijui Big 5 huko akina La Kairo.
 
Ni kama nakuelewa hivi, lakini ghafla napoteza dots..uchaguzi wa CWT una uhusiano gani na ccm au siasa kwa ujumla. otherwise you communicate but you fail to deliver the message. Tueleweshe uchaguzi ulikuwa kati ya CWT na ccm au Chadema na ccm? so what comes in btn CWT kuhusika hapa? Fafanua maana wasomaji wako hatupo huko wala hatufaham kilichokuwa kinaendelea. Nakupongezeni kwa ukamanda wenu uliotukuka..

Hongera Kamanda Mwl. Jared Mwanga kwa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) wilaya ya Rorya!
Hii ni dalili tosha kabisa kwamba ukombozi unafika Rorya siku si nyingi. Na huu ni ujumbe na salaam kwa magamba wote wa Rorya.
Salaam zimfikie Lakairo na Genge lake akina Ongujo Wakibara na wahuni wahuni wote wa CCM ndani ya Rorya waliopanga kuhujumu ushindi wa Mwl. Jared Mwanga. Ni kwamba CCM hawana chao tena mwaka huu!
Mlimtumia majambazi nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo lkn kwa Mungu yuko upande wetu, shetani ameshindwa. Tulianza na Mungu Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu!
Mmetumia zaidi ya Million 100 kuwanunua walimu ili kufanikisha uhuni wenu lakini Mungu amewaumbua Lakairo na Ongujo.
Rorya ni yetu. Tunakuja kukomboa Rorya mwaka huu kutoka mikononi mwa mambumbumbu na wadhalimu wasiojitambua. Tunakuja Rorya. Ukombozi umefika.
NB: Mwl. Jared Mwanga mlimpa barua feki ya uhamisho kwa kushirikiana na wahuni wenzenu wengine serikalini na sasa amewaumbua mchana kweupe. Imekula kwenu!
Mwl. Jared Mwanga kura 105.
Genge la Ongujo kura 40.
Tofauti kura 65
 
kubwa jinga wee sasa CWT na CCM wapi na wapi kama sio wehu wa mchana
 
Mkuu leta konekisheni za ccm,cdm,cwt na huyo mwl please,kabla sijachangia zaidi
 
Hongera Kamanda Mwl. Jared Mwanga kwa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) wilaya ya Rorya!
Hii ni dalili tosha kabisa kwamba ukombozi unafika Rorya siku si nyingi. Na huu ni ujumbe na salaam kwa magamba wote wa Rorya.
Salaam zimfikie Lakairo na Genge lake akina Ongujo Wakibara na wahuni wahuni wote wa CCM ndani ya Rorya waliopanga kuhujumu ushindi wa Mwl. Jared Mwanga. Ni kwamba CCM hawana chao tena mwaka huu!
Mlimtumia majambazi nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo lkn kwa Mungu yuko upande wetu, shetani ameshindwa. Tulianza na Mungu Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu!
Mmetumia zaidi ya Million 100 kuwanunua walimu ili kufanikisha uhuni wenu lakini Mungu amewaumbua Lakairo na Ongujo.
Rorya ni yetu. Tunakuja kukomboa Rorya mwaka huu kutoka mikononi mwa mambumbumbu na wadhalimu wasiojitambua. Tunakuja Rorya. Ukombozi umefika.
NB: Mwl. Jared Mwanga mlimpa barua feki ya uhamisho kwa kushirikiana na wahuni wenzenu wengine serikalini na sasa amewaumbua mchana kweupe. Imekula kwenu!
Mwl. Jared Mwanga kura 105.
Genge la Ongujo kura 40.
Tofauti kura 65
Sasa uchaguzi wa chama cha walimu una uhusiano gani na CCM au chama chochote cha siasa? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Ni kwamba baada ya CCM kugaragazwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji Rorya hasa kwenye mamlaka ya mji mdogo Shirati wenye mitaa/vitongoji 9 ambapo CHADEMA walibeba mitaa 7 na CCM kuambulia mitaa 2 ndipo CCM Rorya walitangaza bifu na walimu Rorya kuwa ndo wamechangia ushindi wa CHADEMA hasa huyo Mwl. Jared Mwanga aliyekuwa Mwenyekiti wa CWT Rorya na kushinda tena leo.
Mpinzani wake wa leo alidhaminiwa na hao wanaojiita vigogo wa CCM Rorya wakina huyo Ongujo Wakibara na Lameck Airo. Ni uchaguzi huu ulikuwa kati ya CCM na CHADEMA.
 
Tupe MATOKEO ya aliyeshinda kuwa MWENYEKITI wa CWT mkoa wa MARA.
 
Jamani tuelewesheni. Kuna uhusiano gani kati ya CWT, CDM na CCM? Some of us are confused.
 
Udharimu na ubazazi wa ccm umefika nwisho. Hata wakikifadhri act kwa pesa zote walizoliibia taifa mchana kweupe kupitia escrow.....Mxiiuuuuuu!
 
Ni kama nakuelewa hivi, lakini ghafla napoteza dots..uchaguzi wa CWT una uhusiano gani na ccm au siasa kwa ujumla. otherwise you communicate but you fail to deliver the message. Tueleweshe uchaguzi ulikuwa kati ya CWT na ccm au Chadema na ccm? so what comes in btn CWT kuhusika hapa? Fafanua maana wasomaji wako hatupo huko wala hatufaham kilichokuwa kinaendelea. Nakupongezeni kwa ukamanda wenu uliotukuka..
Hao ndio walimu wetu!
 
She Is Failled 2 Relate Btn Kijan And Cwt. To Discuss Ths Topic Is Equal 2 Non Sense.Execuse Her Members.
 
Back
Top Bottom