CCM chali Rorya!

CCM chali Rorya!

Yaani siku hizi hata kwenye taasisi za kitaaluma kuna uvyama? Wow....That's really bad. Unfortunately, Ile dhambi ya kuwabagua watu kwa itikadi zao kwenye chama fulani sehemu za kazi nafikiri ndiyo imesababisha haya yote.
Pole Tanganyika.
 
Ni kama nakuelewa hivi, lakini ghafla napoteza dots..uchaguzi wa CWT una uhusiano gani na ccm au siasa kwa ujumla. otherwise you communicate but you fail to deliver the message. Tueleweshe uchaguzi ulikuwa kati ya CWT na ccm au Chadema na ccm? so what comes in btn CWT kuhusika hapa? Fafanua maana wasomaji wako hatupo huko wala hatufaham kilichokuwa kinaendelea. Nakupongezeni kwa ukamanda wenu uliotukuka..

Mkuu,

Siasa ni kila kitu. Nakupa mfano, nilipogombea uwaziri mkuu DARUSO miaka hiyo sikuajua vyama hasa ccm ilikuwa na mkondo wake. Chadema kupitia katiba yake inawaandaa vijana kuanzia miaka 14, then imejita ktk taasisi mbalimbali ikiwamo hiyo tajwa hapo juu. Zinduka! Hiyo ndo siasa endelevu...
 
Back
Top Bottom