M Mr Emmy JF-Expert Member Mar 12, 2012 1,219 550 Dec 31, 2013 #1 Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu
Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu
Mlengo wa Kati JF-Expert Member Feb 16, 2011 2,730 492 Dec 31, 2013 #2 Mr Emmy said: Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu Click to expand... Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo
Mr Emmy said: Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu Click to expand... Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo
Alfred Daud Pigangoma JF-Expert Member Mar 30, 2009 1,826 966 Jan 1, 2014 #3 Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Umevulugwa. MaCCM yamekufa rasmi 2013 pale Kalimjee.
Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Umevulugwa. MaCCM yamekufa rasmi 2013 pale Kalimjee.
M mshunami JF-Expert Member Feb 27, 2013 4,256 1,942 Jan 1, 2014 #4 Hii rasimu ya Katiba mpya ni pigo kali mno ambalo sidhani CCM itapona kwa misimamo yake ya kiliberali!
Hii rasimu ya Katiba mpya ni pigo kali mno ambalo sidhani CCM itapona kwa misimamo yake ya kiliberali!
T Tiger One JF-Expert Member Apr 11, 2012 568 310 Jan 1, 2014 #5 Mr Emmy said: Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu Click to expand... Kwani siku ya ufufuo wa milele tayari? Hata hivo siku hiyo ya hukumu mtatupwa jehanam ya milele kwani hujuma na dhambi mlotenda hazistahili msamaha!
Mr Emmy said: Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu Click to expand... Kwani siku ya ufufuo wa milele tayari? Hata hivo siku hiyo ya hukumu mtatupwa jehanam ya milele kwani hujuma na dhambi mlotenda hazistahili msamaha!
M m4cjb JF-Expert Member Jul 23, 2012 7,697 2,269 Jan 1, 2014 #6 Chama kilicholemewa na mizigo lazima mwaka huu tukipumzishe! chama kimechakaa hadi kinatia huruma.
M m4cjb JF-Expert Member Jul 23, 2012 7,697 2,269 Jan 1, 2014 #7 Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Mbona povu? tulia dawa ikuingie vizuri!
Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Mbona povu? tulia dawa ikuingie vizuri!
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Sep 18, 2010 8,396 7,968 Jan 1, 2014 #8 Lile dili la Meno ya Tembo na Tanzanite walizokamatwa nazo Wachina pale bandarini baada ya kutumwa na sterling Kinana ndio kifo cha CCM... Dunia nzima inajua nini MaCCM yanawafanyia Tembo wetu
Lile dili la Meno ya Tembo na Tanzanite walizokamatwa nazo Wachina pale bandarini baada ya kutumwa na sterling Kinana ndio kifo cha CCM... Dunia nzima inajua nini MaCCM yanawafanyia Tembo wetu
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Jan 1, 2014 #9 Ndugu ututakii Mema, Yani unataka Shetani afufuke.
K KAMP2015 JF-Expert Member May 27, 2013 281 69 Jan 1, 2014 #10 Marehemu ameshazikwa we unasema ufufuo, na sisi tunajiandaa kuweka JIWE KUBWA juu ya kaburi lake mwakani
Marehemu ameshazikwa we unasema ufufuo, na sisi tunajiandaa kuweka JIWE KUBWA juu ya kaburi lake mwakani
Ekikunila Senior Member Mar 25, 2013 119 35 Jan 1, 2014 #11 R.I.P CCM tulikupenda ila mafisadi wamekupenda sana ukakutane na Mabina paradizo
Hakikwanza JF-Expert Member Dec 11, 2010 4,034 1,003 Jan 1, 2014 #12 Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Wewe umelewa sembe
Mlengo wa Kati said: Ukome kuandika ujinga huu ukisha lewa Gongo Click to expand... Wewe umelewa sembe
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,785 441 Jan 1, 2014 #13 naombeni hiyo copy ya rasimu ya katiba basi na mimi niione yote