Ccm,ccm, ccm chama changu mfu nakuombea ufufuo wa kweli 2014

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu
 
Hii rasimu ya Katiba mpya ni pigo kali mno ambalo sidhani CCM itapona kwa misimamo yake ya kiliberali!
 
Kwa heri 2013, kwaheri ccm, kwa kheri chama mfu ccm nakutakia kila kheri kwa mwaka 2014 japo turudi kwenye chati kama tanu

Kwani siku ya ufufuo wa milele tayari?
Hata hivo siku hiyo ya hukumu mtatupwa jehanam ya milele kwani hujuma na dhambi mlotenda hazistahili msamaha!
 
Chama kilicholemewa na mizigo lazima mwaka huu tukipumzishe! chama kimechakaa hadi kinatia huruma.
 
Lile dili la Meno ya Tembo na Tanzanite walizokamatwa nazo Wachina pale bandarini baada ya kutumwa na sterling Kinana ndio kifo cha CCM...

Dunia nzima inajua nini MaCCM yanawafanyia Tembo wetu
 
Marehemu ameshazikwa we unasema ufufuo, na sisi tunajiandaa kuweka JIWE KUBWA juu ya kaburi lake mwakani
 
R.I.P CCM tulikupenda ila mafisadi wamekupenda sana ukakutane na Mabina paradizo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom