mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Tulianza na Mungu...
Tulianza na Mungu...
Tunamaliza na Mungu
Na tutaendelea na MUNGU
Nape anafua NepiWee hujui kuwa Nape anashangilia ushindi saa hizi?
Tulianza na Mungu...
Wakina Magamba...Wameshakufa...wanasubiria msiba kutangazwa....NAPE, LOWASSA...Maji machafu-LUSINDE na akina SENDEKA bado wanakimbia mnuko wa matendo yao wenyewe...na CCM ndio moto utawawakia ndani kwa ndani...watakimbiana..!
Wee hujui kuwa Nape anashangilia ushindi saa hizi?
Tulianza na Mungu...