`CCM can`t overrule Baraza La Wawakilishi on referendum`? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

`CCM can`t overrule Baraza La Wawakilishi on referendum`?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Feb 19, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,614
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Zanzibar House of Representatives Speaker Pandu Ameir Kificho declared yesterday that the planned referendum on the formation of a coalition government in the Isles will be conducted before the October General Election as decided by the House late last month.
  He was reacting to media reports that the CCM National Executive Committee meeting which ended in Dodoma on Monday had recommended that the referendum be held after the General Election.

  “No person or authority has the power or mandate to overrule a decision passed by the House of Representatives, save the members themselves,” he insisted.
  Jawabu wanapewa NECCM na wengine wowote wale ambao wanawaona WaZanzibari wapo kwenye ndoto,mlisema ZNZ si nchi mkajibiwa ni nchi na sasa mnaonyweshwa kwa vitendo.
  BLW sio sawa na bunge la TZ linalozimwa na mtu mmoja tu.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,771
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280
  He! Naona mkuu Mwiba umerudi!

  Haya bunge la TZ (ambalo znz ni sehemu yake) limezimwa na mtu mmoja yupi?
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,323
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nakubali Mwiba, Nasubiri kwa hamu mno hilo tendo ila mnaweza. Kazi kwenu, ZNZ sio sawa na bara.
   
 4. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mimi siku zote nawaaminia sana hawa wazanzibar natamani na sisi huku tungekuwa kama wao lakini hii movie litakuwa fundisho kwetu na CCM kwa ujumla acha wao waanze labda na viongozi wetu huku kina Makamba na Msekwa wataona aibu kuendeleza siasa za uhasama
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,115
  Likes Received: 2,412
  Trophy Points: 280
  Safi sana. Sio huku kwetu spika anatishiwa nyau nae anaogopa...kisa... atakosa pa kula!
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,614
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kaizer umewona apo ,ni hoja ngapi hapo bungeni zimepigwa na chini ,ipo wapi Richmonduli ,msukumo wa kuangusha madai hayo na menginetele umetoka wapi kama si nje ya bunge na vikao vya CCM ?
  Napita hapa kutazama kama mmebadil;ika lakini naona bado ,mpo na ccm na watu wake.
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,771
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280
  hahaa, tunaibadili ifikapo 2010. tatizo bendera itabaki ileile:D
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...