Mfumo wetu wa uchaguzi unawezesha raisi kuwa wa chama chochote bila kujali wabunge wa chama chake watakuwa wangapi ingekuwa rais anachaguliwa na wabunge maoni yako yangehold water kwa sababu kura zinapigwa separately na idadi ya wabunge sio prerequisite ya kupata uraisi.
Pia inawezekana wangeungana na vyama vingine ili kuunda serikali au wangebadilisha katiba iruhusu mawaziri kutoka nje ya wabunge hapo wangeweza kuwapata wataalamu kushika nafasi zao kwa mfano waziri wa ulinzi awe mjeda, waziri wa elimu awe mwalimu waziri wa afya awe dactari nk
Nadhani umeelewa kidogo mkuu ritz!!!
ritz acha ushamba wa akili unataka kukaribisha vyama vingine kwani hili ni pilau?Mkuu, Chadema wameishasema na tumeona jinsi walivyounda serikali kivuli, walisema wazi hakuna chama makini cha upinzani zaidi ya Chadema..
Na wakajitangaza rasmi kuwa Chadema ni kambi rasmi ya upinzani huku wakiviacha njia panda vyama kama NCCR Mageuzi, TLP, CUF, UDP..
Sasa kama wameshindwa kuwakaribisha wenzao kwenye kwenye kambi ya upinzani bungeni wakichukuwa na nchi ndio wataweza?
Kuhusu kubadili katiba hawawezi sababu katiba si mali ya Chadema ni mali ya watanzania
Hawa ndio wa kuwapa Serikali............
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Sikupenda kuchangia, ila nadhani kuna kitu ambacho inabidi tuwekane sawa. Unapozungumzia suala la uongozi wa nchi unazungumzia kitu ambacho ni very sensitive. mimi si mshabiki wa siasa za kutukanana ila ni mfuasi wa constructive and scientific politics. Mtoa mada, amefanya analysis na kugundua kuwa Chadema ina wabunge 23! hivyo si busara kupewa nchi waiongoze KWA SASA, hii inamaanisha wale watu 23 ndiyo true picture ya serikali ya Chadema itakavyokuwa. Ninakuhakikishia Chadema wanaweza kupewa kuongoza nchi kwa nafasi ya uraisi(sijui ni nani kati ya unaowajua, Dr. Slaa? Marando? Mnyika? Zito Kabwe? Mdee?...). Ila yeyote kati ya hao atakayepewa huo uraisi hatoweza kuongoza nchi kutokana na sababu zifuatazo. Kwanza CCM inaonyesha katika kipindi cha miaka 10 ijayo(endapo chadema itachanga vizuri karata zake) bado CCM itakuwa na uwiano mzuri wa wabunge kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini, na hii inamaanisha kama serikali ya chadema itakuwa na wabunge theluthi moja, ni lazima theluthi mbili ya mawaziri watoke CCM(Soma katiba) na kwa hili serikali itakuwa bado ni ya CCM! Spika wa Bunge penda ukatae lazima atakuwa wa CCM kutokana na wingi wa kura za wabunge wa CCM. Wakuu wa itifaki waliopo sasa hivi ambao ni experienced ni wahafidhina wa CCM. Jeshi, kinadharia tunasema halina chama, ila usijidanganye sana mjomba(haya mambo huyajui). Unapomzungumzia hiyo serikali ya chadema, kwangu bado naiona hiyo serikali ya chadema tunayoitaka itupeleke katika tanganyika tunayoitaka bado haijawa tayari. Ukirudi kwenye mifano sahihi, Chadema hakina mizizi sahihi ya kuweza kusimama kama chama, na hata hao wabunge 23, angalia vizuri na ndani yao utakuta karibu nusu ni mamluki wa CCM, ukianza na Dr. Slaa mwenyewe(fuatilia wapi alipotoka na kwa nini yupo pale?), Shibuda? Marando? na wengine kibao si wa kuaminika na hata wanapokaa kwenye NEC zao fuatilia utaambiwa matatizo kibao. Huyo unayemwita Mr. Obama, fuatilia kwa makini na utaona ni kwa nini alipewa nchi! Huyu jamaa hakupewa nchi kutokana na kuwa hana experience wala kutokana na kuwa alipewa kwa kuwa kwake mwafrica ili apate popular sympath na kuwaonyesha jamaa si wabaguzi, hilo silo! Alipewa nchi kwa kuwa aliandaliwa miaka 33 pamoja na wenzie 11 ambao wote walifuzu katika advanced trainings za kijasusi na system za USA, alipewa uraisi kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa USA na Israel, yeye obama akiwa anadamu ya Jews (soma ujue nini faida ya israel kwa Taifa la Marekani), na zaidi hakuachiwa nchi, ila alipewa Vice President mwenye experience ya hali ya juu. Kama CDM wapo desperate kuitaka nchi, sawa tutawasaport lakini watupe tentackes kiutawala, kimfumo, na strategies zisizo na longolongo. Wangekuwa stable, wasinge enda ikulu kunywa soda, kuutangazia umma yamekwisha, na kesho yake kukurupuka na kudai wameuzwa! Tuwaamini vipi? Tusichangie kishabiki, tufanye critica thinking kidogo.hivi experience inapatikanaje bila kupewa nafasi kwa nini uandikie mate wakati wino ungalipo wape nafasi kwa kukipigia kura then uone nini watafanya, kwani Mwl Nyerere alikuwa na experience gani wakati anapigania uhuru wa Tanganyika?
Obama na McCain nani alikuwa na experience kubwa zaidi na kwa nini wa marekani walimchagua Obama mwenye experience ndogo na kumuacha mwenye experience kubwa?
Fikiria kwa kutumia ubongo kidogo basi halafu ndoo upost!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.
Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.
Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii
Kujiunga jana sioni ka ni tatizo,..Hz post nne ni nyingi sana au chache!? We ulitaka aanze kutoa post zake lini baada ya kujiunga!? Ushauri wangu,watu wajibu hoja siyo kuwa nani kaingia lini. Ikawa sababu ya yeye asieleze kile anachokifahamu,.Unaweza ukawa umejiunga toka JF ilipoaanza na ukawa unapost utumbo ..Junior Member Array Join Date : 5th December 2011
Posts : 4
Rep Power 0
Kajiunga jana na tayari ana post 4, ndo walewale waliotumwa, pumba tupu, unawaza kimasaburi tu huku akili yako ikiwa kama ya hilo lichama lililokutuma.Kwa hiyo unataka kutambia wanaoweza kuongoza ni hao walitusababishia kuwa NCHI YA TATU KWA UMATONYA DUNIANI.Shame on u.