LATTICE BOND
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 219
- 48

uelewa wako ni mdogo sana katika mambo haya, jaribu kujifunza zaidi.

Kuna mambo mengi ambayo huyajui na hujui kuwa huyajui.

Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!
COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!
Duh! JAMAA WA CDM KWA JAZBAuelewa wako ni mdogo sana katika mambo haya, jaribu kujifunza zaidi.
Kuna mambo mengi ambayo huyajui na hujui kuwa huyajui.
Badillisha jina unalolitumia kwani haliendani na uliyoyaandika hapa. Ulitakiwa uichambue hoja iliyotolewa.

ndo upeo wenu ulpoishia kuwatukana tu watu..na kuwatoa akil..mshabk yoyote anaeshabkia shabkia mambo ya CDM n MPUUZ
Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!
COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!
kuna mijitu mingine haistahili kuwa hai! Basi tu neema za Mungu zinawashukia wote hata kama ni kiazi kama huyundo upeo wenu ulpoishia kuwatukana tu watu..na kuwatoa akil..mshabk yoyote anaeshabkia shabkia mambo ya CDM n MPUUZ