CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!

COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!

Kama ndoto yako kuwa vyama vimeshindwa kuwa mbadala wa CCM ni kweli basi ujue plan B ya wananchi kuuondoa huu uozo itakuwa Misri,Libya or Tunisia style. Chaguo ni lenu

uelewa wako ni mdogo sana katika mambo haya, jaribu kujifunza zaidi.

Kuna mambo mengi ambayo huyajui na hujui kuwa huyajui.

ndo upeo wenu ulpoishia kuwatukana tu watu..na kuwatoa akil..mshabk yoyote anaeshabkia shabkia mambo ya CDM n MPUUZ

Bora sasa mmeanza kuamini kuwa mwisho upo! Mpaka umethubutu kutaja wastani wa miaka....(2020)! Kweli upinzani unapata nafuu ya maradhi na CCM ipo mahtut bin taaban kwa uzee. Asante kwa kuwa Mwana magamba wa kwanza kukiri hatima!

hayo ni mwazo yako!!
na napata wakati mgumu kujua ulichofikiri nacho ila jibu rahisi ni Masaburi.
kwani leo hii pita hata kijijini na chata la ccm uone aibu yake ila hulazimishwi,amini ujuavyo wewe

ila ujue 2015 mwisho wa Magamba.

ARAFAT!
Nitajie mambo matano kati ya hayo mengi ambayo siyajui na sijui kuwa siyajui! na itakuwa vizuri sana kama utayataja kwa mifano!!

uelewa wako ni mdogo sana katika mambo haya, jaribu kujifunza zaidi.

Kuna mambo mengi ambayo huyajui na hujui kuwa huyajui.

Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!

COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!

You sound small mind with no direction..Go quitly you dont have to tell us..signs of depression.

hivi bado kuna watanzania wajinga kiasi hiki, mgonjwa ameshakata kauli na mashine anayopumulia iko about kuzimwa, bado unamuandaa kwa ajili ya mechi ya mpira kwa siku ijayo yaani kesho, kweli wewe ni kichaa. ccm inasubiri watu wachimbe kaburi, huoni mkuu wa wilaya anawapa rushwa viongozi wa kata na mashina wa ccm lakini hawataki, matokeo yake wanaomba msaada kwa makamanda cdm. poleni ccm - kasulumbayi na timu nzima kanyageni twende.

Nijuavyo mimi ccm inakabliwa. Na matatizo iliyoyayengeneza yenyewe ambayo no shule za kata kilimo kwanza Annapolis wakulima wanalima ila hakuna solo.
Pili kwa kile kitendo cha kumkamata mkuu wa wiyala kama yule jamaa wa ivory cost inaonyesha vijana wamekata tamaa
Kwa halo hali hii ni vyema kwa chadema na ccm kujiandaa kwa mabadiliko

Eti upinzani hauna nguvu vijijini! Kwa hiyo Igunga ni jiji? Naona umevimbiwa kitimoto wewe.

Labda kuchakachua na kutumia dola ie, police. Nipo igunga kuna tetesi kuwa nkuu wa polic wilaya amebadishwa kwan ccm wanaona hakidhi matakwa yao, hebu jiulize huyo atakuwa wa tatu kubadilishwa ndani ya mwezi. Ova!

ndo upeo wenu ulpoishia kuwatukana tu watu..na kuwatoa akil..mshabk yoyote anaeshabkia shabkia mambo ya CDM n MPUUZ
Badillisha jina unalolitumia kwani haliendani na uliyoyaandika hapa. Ulitakiwa uichambue hoja iliyotolewa.

Mleta mada nadhani ana shida kubwa ya kutokujua mambo .Ama kaja kupima upepo au anaishi mjini hata kijijini kwao haendi .Aende huko atasikia hata bibi yake anasema CCM basi .Majuzi nilikuwa kijijini kabisa huko Kiagata natembea katika kazi zangu .Mama mmoja kada wa miaka yote ya CCM alitamka wazi kwamba atabakia CCM kwa kuonekana lakini kwa shida anazo pata Chadema ndiyo kimbilio .Sasa wewe unaongelea issues zipi ambazo CCM wamejijenga hadi waendelee ?CCM can only survive kwa kubebwa na tume , kutumia jeshi la wananchi na polisi kubakia madarakani na si zaidi .

Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!

COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!

a porridge-filled head

Nilitaka nikuulize swali la maana lakini nilipoona hilo neno niloweka rangi nikagundua kumbe nimepoteza mda wangu kusoma hoja za KILAZA...
Bye...

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom