CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

Wewe unafaa kupuuzwa na kila aliyezaliwa na mwanamke. Ushindwe na ulegee; ukabila ndo unaendekea mpaka sasa katika zama hizi. Badilika ndugu!
...huyo riz 1 ndio mumeo aliekushikia akili kenge ww!
ninyi ndio maPUNGA kweli kweli
msiwe mnadandia treni kwa mbele wakati mmeinama na kutegesha
Mada inasema
[h=2]Re: CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa[/h]ni wapi CHADEMA kaambulia hiyo Kanda ya Ziwa?
Wamegalagazwa kila kona na Wasukuma hawatakaa wamuache Magufuli mpaka miaka 10 ipite
Mleta Mada hasema
Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.
watu wanasherehekea ninyi ndio mna majonzi Kenge wakubwa tulieni mnyolewe magamba



 
Nadhani ulikuwa unaandika kwa utani. Sitaki kuamini kuna watu wamejaa ukabila wa kiwango hiki kati yetu Tanzania. Na kama ndivyo, basi tuna tatizo kubwa la kujichukia wenyewe na kuendekeza ukabila, udini, rangi, umbo, na vyovyote. Hata wanyama wanatushinda, wanyama wana rangi na marakaraka kila aina lakini sijawahi kuwaona wakisema wewe wa Kaskazini, wewe kuku au mbuzi wa kusini. This is extremely too stupid if not silly. Samahani, nachukia sana ubaguzi.


Kitufe cha like hapa JF kimeuzwa sijui aaah!!! JF imekuwa ya hovyo kama CCM
 
Hujui unachokisema tuulize tulioko kanda ya ziwa tukwambie hali halisi bado una element za ushabiki mihemko leo hii wakisema warudie uchaguzi kanda ya ziwa majimbo yote yaliyobaki chadema yataenda ccm bila kuiba kura ya mtu hata mmoja, habari ndio hiyo kaka usikurupuke uliza kwanza tulioko tukupe hali haisi huku upepo umebadilika sana hali ya ukawa na cdm ni ngumu kuliko unavyofikili ofisi zao nyingi zimefungwa mpaka leo, kuyarudisha haya majimbo yaliyochukuliwa na ccm panahitaji msuli wa ziada.
 
Kwanza niwapongeze kwa ushindi mkubwa mlioupata kanda ya ziwa japo sehemu zingine mliupora kwa walioshinda.

Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.

Ushauri wangu kwa CCM ni kuwa wasipojitahidi kurudisha imani kwa wanakanda ya ziwa 2020 hali yao itakuwa mbaya sana.

Tusubiri tuone.

...

...well noted
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika

...

....akwaju chakula cha Nyani
 
Alafu mnapowazungumzia kaskazini mnawasema sana Wachaga. Huo ni wivu wa kimaendeleo tu. Wachaga ndio kabila lililoendelea sana Tanzania, kibiashara hata kielimu. By the way mimi ni mmasai


...Mkuu na hasira na buzwagi (Mwime)...

article-1320654-0486FAF30000044D-718_468x286.jpg
 
Mara tumewapa Chaggadema wabunge 4 lakini Viti maalum hakuna hata mmoja mkoa mzima.Wachaggaaa..
 
Kwa hii kasi ya Magufuli naimani huko tuendako chadema watakuwa na hali ngumu sana kanda ya ziwa. Maana ata kura alizokosa ni zile za mashaka kwa chama chake ila sasa ni kama anaitakasa ccm na serikali. Ngoja tuone.

Hapa Ndo Mifiem Ipo Ifikisha Nchi UKABILA na UBAGUZI ndo urithi alio uacha baba riz1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom