CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

wewe Kweli umepagawa!! Mmachame ni Mmachame huwa hamnaga shukurani na hakuna kutosheka... si mrudi kwenu kaskazini!!! Majimbo na halmashauri ziko chini ya UKIWA huku mnataka nini???/

Ukabila wa nini humu ???!. Tusio na makabila tuliozaliwa mijini tukimbilie wapi !!??????
 
Unvyoona Wachagga sio watanzania sio?Tutafika Mnapopataka tutaanza kuitambulisha kama wachagga sio watanzania.Mimi Ni Mchagga and ma proud of it.
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
 
Kwanza niwapongeze kwa ushindi mkubwa mlioupata kanda ya ziwa japo sehemu zingine mliupora kwa walioshinda.

Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.

Ushauri wangu kwa CCM ni kuwa wasipojitahidi kurudisha imani kwa wanakanda ya ziwa 2020 hali yao itakuwa mbaya sana.

Tusubiri tuone.

We umejuaje?umefanya utafiti?au umeamka na ndoto?
 
We mpuuzi kweli. Mbona mnatuchukia sana kaskazini? Au ni wivu wa maendeleo? Too mainstream stupid
halafu mna matusi ya kirejareja kwa kuwaona wenzenu mazoba
kila mahali waliopa hawa watu utaona tu hawataki kushirikiana na wenzao
Mji wa Mwanza ni wa Wasukuma sasa uatatambaje na kibiashara chako ulete matusi hadi JF?
 
Nadhani ulikuwa unaandika kwa utani. Sitaki kuamini kuna watu wamejaa ukabila wa kiwango hiki kati yetu Tanzania. Na kama ndivyo, basi tuna tatizo kubwa la kujichukia wenyewe na kuendekeza ukabila, udini, rangi, umbo, na vyovyote. Hata wanyama wanatushinda, wanyama wana rangi na marakaraka kila aina lakini sijawahi kuwaona wakisema wewe wa Kaskazini, wewe kuku au mbuzi wa kusini. This is extremely too stupid if not silly. Samahani, nachukia sana ubaguzi.
soma heading ni ya kipuuzi sana
labda mleta uzi naleta utani lkn sio mm watu wamekesha kina Di'allo kna Mtaturu uje ubabaishwe na wapiga brush? wanakuja leo wanatajirika na kuwadharau wenzao
[h=2]CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa[/h]

hii kichwa ya habari km unaiamini ndio ujue ni ujuha hiyo Kanda ya ziwa ndio Inji ya kaskazini?
 
Unvyoona Wachagga sio watanzania sio?Tutafika Mnapopataka tutaanza kuitambulisha kama wachagga sio watanzania.Mimi Ni Mchagga and ma proud of it.
wachagga wamekushika hadi makalio kenge wewe
hata kama ni mchagga lakini jipambanue vizuri
kwanini mnaongoza kwa matusi
kwanini mnachafua mitandao
kwanini mnaongoza kwenye Cyber crime kina waliokamatwa juzi wanandugu wa4 wanasema Inji hii imeingia vitani na vijana wa4 wameuawa mwanza ni kina nani?
waliokamatwa na waKorea wakichakacha ni kina nani
kinachokera Siasa zimeisha na sasa ni kazi tu Rais ni Magufuli kwanini msisubiri 2025?
Member saa hizi anaingiza

[h=2]CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa[/h]
kwanini asizungumzie Arusha au Meru? au CUF au CHADEMA
msiiharibu JF tuchangie mambo kiTanzania kwani hakuna mahali Magufuli kapata kura km Kanda ya Ziwa
 
Wewe ndio Mpumbavu unaingiza ukabila, mtoa mada hajataja kabila kataja kanda ambayo inamchangayiko wa makabila mengi

Yeye kaongelea kanda ya ziwa huwezi mlazimisha aongelee Meru au Arusha au CUF au Chadema kama unataka ongelea wewe

Kama una hasira na wachaga waungulie thread yao

U
 
Layoni akitawala nchi Mifugo na watu hufa sana!!!!!. Ngoja tuone Tanzania!!!!!!
 
cpendi ukabila, post yako inakela xana.
mbona kazkazn maguful kapata kura nyingi tu, pia hata lowasa kapata kura nyingi kanda ya ziwa.
ACHA KUCHOCHEA UKABILA.
 
Jitahidi kusoma post kwa makini kabla ya kutoa comment katika post yangu hakuna mahali nimeandika kabila sijui wewe umeiona wapi
Kwa kukusaidia ni kuwa kabla ya uchaguzi watafiti wa CCM walituambia kuwa kanda ya ziwa imehasi hivyo kunaitajika mikakati thabiti
ya ili kuirejesha mikononi mwa CCM na baadhi ya mikakati imezaa matunda japo si kwa kiwango kikubwa sasa sijui ukabila unaousema umetoka wapi?
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika

mkuuu Mimi ni msukuma Og toka kijiji cha kikubiji, kata ya sangu tarafa ya mwamashimba wilayani kwimba, nafanya kazi Rombo tarakea na sijawahi nyimwa ushirikiano na jamii hii ya wachaga eti kisa Mimi msukuma, wachache wenye hoja mfu kama wewe ndio mnalipasua taifa na hyo laana haitowaacha
 
we ni binzari kweli,,,lowassa mchaga
 
Ndo ukweli usiofichika wachaga walijiona wao wanaweza teka nchi yoote wakasahau sensa ya mwaka 2012 ilitoa takwimu gani... ona sasa Wasukuma walivowanyoooshaaa.....hahahhaah? na CDm ya mbowe isahau kuigia ikulu

wasukuma wananini linganisha na wachaga,,,ngombe au
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika

Mkuu umenisikitisha sana kwa hoja zako za kichovu, wasukuma hatujawah kuwa wabaguz kias hicho!
mi msukuma tena og kutokea kijij cha kikubiji,kata ya sangu, tarafa ya mwamashimba wilayan kwimba!
npo kikazi TARAKEA ROMBO na sijawahi kukosa ushirikiano kisa me msukuma!!
wajinga wachache wny mawazo mfu kama wewe ndo mnalipasua taifa na laana hyo haitowaacha
 
Kwanza niwapongeze kwa ushindi mkubwa mlioupata kanda ya ziwa japo sehemu zingine mliupora kwa walioshinda.

Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.

Ushauri wangu kwa CCM ni kuwa wasipojitahidi kurudisha imani kwa wanakanda ya ziwa 2020 hali yao itakuwa mbaya sana.

Tusubiri tuone.[/QUOTE

"Watanzania wanajivunia ukabila!...wanaozungumzia ukabila ni WATU MUFILISI KABISA kabisa kisiasa. Hawana kitu kichwani!" Mwl.Nyerere, mwasisi wa CCM
 
Mkuu umenisikitisha sana kwa hoja zako za kichovu
, wasukuma hatujawah kuwa wabaguz kias hicho!
mi msukuma tena og kutokea kijij cha kikubiji,kata ya sangu, tarafa ya mwamashimba wilayan kwimba!
npo kikazi TARAKEA ROMBO na sijawahi kukosa ushirikiano kisa me msukuma!!
wajinga wachache wny mawazo mfu kama wewe ndo mnalipasua taifa na laana hyo haitowaacha

mkuuu Mimi ni msukuma Og toka kijiji cha kikubiji, kata ya sangu tarafa ya mwamashimba wilayani kwimba, nafanya kazi Rombo tarakea na sijawahi nyimwa ushirikiano na jamii hii ya wachaga eti kisa Mimi msukuma, wachache wenye hoja mfu kama wewe ndio mnalipasua taifa na hyo laana haitowaacha
hebu angalia unavyojichanganya
mbona unadandia treni kwa mbele maana naona hujui ukisemacho na wala Rombo huijui
hao warombo watakupa hapoa Ardhi kweli niambie umepewa kihamba na Mzee nani wahapo Tarakea
Hapo kwenye RED ni wapi niliposema ni wabaguzi
wewe kuachiwa uilee familia km wenzako wa Kenya umeona ufahari sana.
Ungekuwepo huko Mwananshimba uchaguzi huu wa Oktoba 25 ndio ungejua nini maana ya Kura kwa Magufuli
na hakuna siku katika miaka hii yote 1- Magufuli atanyimwa ushindi akapewa Mhorombo
 
Back
Top Bottom