CCM bado Chafu: Mafisadi wa Escrow hawajakatwa

CCM bado Chafu: Mafisadi wa Escrow hawajakatwa

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Tunataka kuaminishwa na CCM kwamba waliobaki CCM ni watakatifu. Kwangu mimi hapana. Waliohusika na Ufisadi wa escrow tena kwa Ushahidi wa Miamala ya kibenki bado wanaendelea kudunda ndani ya CCM.

Tena wengine wamepita kwenye kura za maoni za Ubunge, na wengine bado wanajifanya wapiga kampeni za Urais ili hali wao waliohisika moja kwa moja na Ufisadi huo tena kwa Ushahidi.
Kwa nn Mliwakata wengine.

Nyinyi bado ni mafisadi wa kuogopwa. CCM Jikateni wote mtuachie nchi yetu ikiwa salama.
 
ni kweli ccm kuna mafisadi. lakini je wapinzani na hasa ukawa watathubutu kuzungumzia ufisadi tena?
 
Tunataka kuaminishwa na CCM kwamba waliobaki CCM ni watakatifu. Kwangu mimi hapana. Waliohusika na Ufisadi wa escrow tena kwa Ushahidi wa Miamala ya kibenki bado wanaendelea kudunda ndani ya CCM. Tena wengine wamepita kwenye kura za maoni za Ubunge, na wengine bado wanajifanya wapiga kampeni za Urais ili hali wao waliohisika moja kwa moja na Ufisadi huo tena kwa Ushahidi.
Kwa nn Mliwakata wengine.
Nyinyi bado ni mafisadi wa kuogopwa. CCM Jikateni wote mtuachie nchi yetu ikiwa salama.

Maajabu ya chadema, DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kumfanya "shetani kuwa Malaika".
 
Maajabu ya chadema, DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kumfanya "shetani kuwa Malaika".

Wahusika wa Ufisadi wa Escrow ndani ya CCM walisafishwa na Mkuu kwa kusema Eti Escrow sio fedha za umma ili hali zinaihusu Tanesco ambalo ni shirika la umma. Tena kwa ushahidi wa miamala ya kibenki, bado mwenyekiti wenu wa CCM alibariki ufisadi huu. Mkateni na yeye mbaki wasafi.
CCM JIKATENI WOTE MTUACHIE NCHI YETU.
 
Si sahizi wamegawana na cdm? pia kuna fisadi mpya ndani ya cdm bw. mbowe. siasa zetu ni za mafisadi tu.
 
Mkuu mafisadi halisi yamebaki CCM. Huyo aliyeenda CDM wala sio Fisadi. Angekuwa Fisadi Asingeweza kufanya hivyo hata kidogo, kwani ni sawa na kujilipua mwenyewe. Kama wana ushahidi wangeshamtupa Rumande kama kisasi cha kuwakimbia. Madaktari wa Ufisadi bado wako CCM. Mpaka wamepewa Uprofesa kwa kubariki Ufisadi
 
Alimradi wale wezi wote wa Richmond wameenda CHADEMA. CCM imebaki safi. Escrow si kashfa kubwa kama Richmond
 
Alimradi wale wezi wote wa Richmond wameenda CHADEMA. CCM imebaki safi. Escrow si kashfa kubwa kama Richmond

Kumbe wewe huujui vizuri ufisadi wa Escrow. Takribani Bilioni 306 Tsh za Escrow ilitafunwa na Mapapa wa CCM tena kwa Ushahidi wa Miamala ya Kibenki na document hewa za Umiliki. Wahusika wa Escrow, Radar, Meremeta, Kiwira, kuuza nyumba za umma bado wanatesa ndani ya CCM na hawajakatwa. Richmond/Dowans ilitugharimu takribani Bilioni 92 za Tz. Kimahesabu Escow scandal ni kubwa zaidi kuliko Richmond. Kwa kumuokoa Mwenyekiti wenu wa CCM. Waziri Mkuu wa kipindi hicho aliamua kujiudhuru kuepusha aibu kwa Mwenyekiti wenu. Nina hakika isiyo shaka kwamba Scandal zote hizi zimepata baraka ya Mwenyekiti wenu wa CCM. Mkateni na yeye.
 
Escrow had sasa wengine bado wanahojiwa mahakama ya maadili..KWA SASA TUMEANZA NA MAFISAD YA RICHMOND ILI YAWAFUATE WAPIGA DILI WENZAO HUKO CDM(MBOWE) KISHA BAADA YA HAPO TUNAGEUKIA ESCROW ILI NA WAO WAFUATE HUKOHUKO KWAO CHAGADEMA(WAPIGA DILI KIMASLAHI ZAID WALA SI KISIASA)
 
Chadema ndio kimbikilio la mafisadi.
Ccm itaendelea kuwakata tu
 
Tunataka kuaminishwa na CCM kwamba waliobaki CCM ni watakatifu. Kwangu mimi hapana. Waliohusika na Ufisadi wa escrow tena kwa Ushahidi wa Miamala ya kibenki bado wanaendelea kudunda ndani ya CCM. Tena wengine wamepita kwenye kura za maoni za Ubunge, na wengine bado wanajifanya wapiga kampeni za Urais ili hali wao waliohisika moja kwa moja na Ufisadi huo tena kwa Ushahidi.
Kwa nn Mliwakata wengine.
Nyinyi bado ni mafisadi wa kuogopwa. CCM Jikateni wote mtuachie nchi yetu ikiwa salama.

Aah, shida siyo ufisadi bwana. Kama ni escrow imejulikana kwani sasa wananchi wanapata haki yao kikatiba kumwajibisha mbunge? Je, wamepata ajira? Je, maliasili yachi yetu sasa tunagawiwa wote? Hamna bwana. Shida ni mfumo mzima wa CCM umeoza. Mastermind wa mfumo huo kaenda CHADEMA kwa hiyo inawezekana kabisa mambo sasa ni safi. WM
 
Escrow had sasa wengine bado wanahojiwa mahakama ya maadili..KWA SASA TUMEANZA NA MAFISAD YA RICHMOND ILI YAWAFUATE WAPIGA DILI WENZAO HUKO CDM(MBOWE) KISHA BAADA YA HAPO TUNAGEUKIA ESCROW ILI NA WAO WAFUATE HUKOHUKO KWAO CHAGADEMA(WAPIGA DILI KIMASLAHI ZAID WALA SI KISIASA)

Msimsahau na Fisadi Magufuli aliyeuza nyumba za Serikali kwa bei poa. Mkapa na Kiwira. Kikwete na escrow. Chenge na Radar. Pinda na Kilimo Kwanza. n.k.
 
ni kweli ccm kuna mafisadi. lakini je wapinzani na hasa ukawa watathubutu kuzungumzia ufisadi tena?

Ukawa ni chombo cha kurekebisha tabia. Ukitua Ukawa hauwezi kuwa mwizi kama genge la Mafisadi la CCM
 
Alimradi wale wezi wote wa Richmond wameenda CHADEMA. CCM imebaki safi. Escrow si kashfa kubwa kama Richmond
na ile ya epa ni nani yule alitoa masharti mafisadi wote warudishe kile walicho kwapua.?
 
haya tueleze wako wapi akina slaa na lipumba ndo tuendelee na mjadala.
What a coincident....wote hao walikuwa ndo wanajua kuwa watakuwa wagombea kupitia UKAWA kabla ya ujio wa Lowassa
 
ULITAKA UMEME WA BURE?

Ile mitambo iliyofungwa inayokupatia umeme unafikiri ilimea yenyewe?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Mama wee ya Escrow yaliongelewa saaana then...kama hukuelewa by then you will never understand now!...if everything was ok then Werema,Muhongo na wenzake walijiuzulu kwa sababu gani?....Hela zilizobebwa kwa rumbesa kutoka stanbic bank zilipelekwa kwa kina nani? (na kumbuka manager wa hiyo bank aliachishwa kazi coz of these issues...but hao malaika wako katika serikali ya CCM walifanya nini kuhusu hili?)
 
Escrow had sasa wengine bado wanahojiwa mahakama ya maadili..KWA SASA TUMEANZA NA MAFISAD YA RICHMOND ILI YAWAFUATE WAPIGA DILI WENZAO HUKO CDM(MBOWE) KISHA BAADA YA HAPO TUNAGEUKIA ESCROW ILI NA WAO WAFUATE HUKOHUKO KWAO CHAGADEMA(WAPIGA DILI KIMASLAHI ZAID WALA SI KISIASA)
VIPI NA WALE WA EPA, VIPI WA RADA,NYUMBA ZA SERIKALI JE?,KIWIRA VIPI? ...NI VIPI NA WALE WALOUZA NBC KWA BEI YA KUTUPA?....ooh God would you please get rid of CCM forever?!we are sick and tired na huu uchafu
 
Back
Top Bottom