dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,775
Nini kifanyike mkuuSio chongolo tu, hata wakiweka kongoro, ni bado wanatuzingua, nchi miaka dahali wa dahali toka tupate umeme vitu vya msingi shida. Umeme, maji, huduma za afya, barabara, yaani kila kitu hovyo tu
Kumbe na wew umeliona hiliHilo ni kweli, anaweza kuwa ni mzuri sana kwa mambo ya ofisini na mwaminifu lakini kwa ukatibu mkuu, mimi naunga mkono hoja. Maji yamemzidi kimo.
Na hivi makonda aliwahi kuwa boss wake huko nyuma, atakoma ubishi.
Namfananisha Chongolo na katibu wa zamani Willson MukamaHilo ni kweli, anaweza kuwa ni mzuri sana kwa mambo ya ofisini na mwaminifu lakini kwa ukatibu mkuu, mimi naunga mkono hoja. Maji yamemzidi kimo.
Na hivi makonda aliwahi kuwa boss wake huko nyuma, atakoma ubishi.
Makonda ndio Katibu Mkuu ajae. Komredi Polepole anarudia Uenezi. AsanteKatibu mkuu wa Sasa haendani na Kasi ya sasa na ninaona Kama Kazi ya ukatibu mkuu imemshinda na ujio wa makonda umemfunika vibaya sana . nafikiri sasa Ni wakati wa kumpa nafasi mtu kama polepole " HP " wapige kazi na Paulo makonda " PM" ,pata picha hiyo wale mawziri mizigo wataacha kazi wenyewe watakimbia show za hao mabwana .Na vilevile wale wahuni na janja janja watatafuta chaka la kujifichia manake itakuwa ni show show tu
Kazi ya chama itakwenda vzr sana na chama kitakuwa maarufu kuliko chama chochote Hapa Tanzania
Chongolo atafutiwe kazi zingine za kufanya manake Yuko Yuko tu hajui ashike lipi aache lipi ",his not fit for these positions"
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo dsm
Chongolo hapan bhanKatibu mkuu ni mtendaji , ndiye anayepanga na kuratibu shughuli zote za chama. Mwenezi ni mtu wa propaganda anatangaza yale ambayo katibu mkuu ameshayachakata. Hivyo Katibu ni mtaalam na si mtu wa mbwembwe
Nitaleta uzi rasm wa kumuondoa mwenyekiti wa ccm taifaOndoeni mwenyekiti mdiye amepooza kama mlenda
Sahih kbsa ila sabaya apewe ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli kabisa, apewe Lengai Ole Sabaya , huyo ndio ataendana na utendaji kazi na Makonda
Afrika tulipewa uhuru wa kujifariji tu siyo kujiongoza.Sio Chongolo tu, hata wakiweka kongoro, ni bado wanatuzingua, nchi miaka dahali wa dahali toka tupate umeme vitu vya msingi shida. Umeme, maji, huduma za afya, barabara, yaani kila kitu hovyo tu
Naunga mkono hojaKatibu mkuu wa Sasa haendani na Kasi ya sasa na ninaona Kama Kazi ya ukatibu mkuu imemshinda na ujio wa Makonda umemfunika vibaya sana.
Chongolo atafutiwe kazi zingine za kufanya manake Yuko Yuko tu hajui ashike lipi aache lipi ",his not fit for these positions"
Naunga mkono hojaHilo ni kweli, anaweza kuwa ni mzuri sana kwa mambo ya ofisini na mwaminifu lakini kwa ukatibu mkuu, mimi naunga mkono hoja. Maji yamemzidi kimo.
Na hivi makonda aliwahi kuwa boss wake huko nyuma, atakoma ubishi.