Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
tutaona na kusikia mengi
Wameanzia bar kwa kila mmoja kumwambia tuu mwingine kwamba atagombea, sasa wakikutana ktk office wakati wa kuchukua form, kurudisha na hata ktk kampeni za ndani itakuweje?
Hili ni dowa kubwa sana kwa ccm na aibu sana
Sema kuu ya ccm lazima ufisadi ukiweka na hiyo nyingine mambo yanaenda bambamKwani wanayaona hawa wahuni??? Jamaa walisha fungwa kwa ujambazi wa silaha ndio wanao kumbatiwa na Ccm kwa sababu ya pesa za wizi. Ccm imekosa maadili 100%
Wahangaike kuliko Jambazi Nyari bora huyu mdosi bushbuck
Lema ni Master wa Arusha..haya majamaa hata hayajui yanapigania nini ?Km vile hayujui ubunge upo kwa mwenyewe na mwenyewe ndio anazidi jisimika.
Lema amekubalika sana Arusha
Hulali?
Unesahau kuwa nyie mna hadi mgombea uraisAh! Kumbe walevi ndio wslopigana, ndiomana wanamjuwa Lema tu mlevi mwenzao.
Nyari yupi anataka kuongoza wajane alioua waume zao kwa kuwanyanganya tanzanite. Kampeni manager wake atakuwa jambazi Banjoo. Baaada ya kushinda ujambazi utahalalishwa rasmi
Kweli mkuu, Nyari jambazi sugu. Enzi za IGP Mahita alisumbua Sana. JK ndo kawapiga mkwara ndio wakapowa
Hivi Arusha kuna Jambazi zaidi ya Kichaa Lema. Nyari atamfuta kwenye ramani peupee
Ongeza na Mojaa wa daraja mbili naye alishahukumiwa na akatolewa kwa kazi maalum,Maccm kwa kukumbatia majambazi,
Justine Nyari alifungwa miaka 30 jela kwa ujambazi wa kutumia silaha baada ya kuvamia Arusha Duty Free, eti baadaye akatolewa kwa msamaha wa rais, hapo hapo akapewa ukamanda wa vijana wa ccm.
Jumanne Mjusi alifungwa jela maisha kwa ujambazi, akatolewa kwa msamaha wa rais na leo ni green guard...
moja ndo nani?huyo ni dogo sanaOngeza na Mojaa wa daraja mbili naye alishahukumiwa na akatolewa kwa kazi maalum,