Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Bavicha bhana...Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema
Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini