CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema

Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
 
Maccm ni kama fisi, tamaa zimewajaa.

Waache watoane roho kwa wasichokuwa na Uhakika wa kukipata!!
 
Huko ccm haiwezi kushinda kwakua huko ndiko chama kilikotoka. Sawa na cuf kwa pemba
 
Kuna watu bado wanafikiri hiyo nafasi ya ubunge Arusha iko wazi?
 
Hivi tunaposema Ukilisimamisha Jiwe na ccm Arusha jiwe litashinda.

Hii kauli ccm hawaielewi au wanajifanya vichwa ngumu...
 
Hawa maccm wanajidhalilisha tu kwasababu wanajua kabisa Arusha mjini inyeshe mvua au jua lazima CHADEMA ishinde tu. Kama CHADEMA ilishinda 2010 bila kujiandaa hawafikirii sasa wamejiandaa na kuandikisha Makamanda wa kutosha.
 
Wapigane tuu lakini arusha ni ya CHADEMA pekee,nawashauri wangeendelea na uwizi wao hao wanaopigania ubunge wanadhani ubunge ni tenga la machungwa,kujaza madanzi,Shame
 
Back
Top Bottom