Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,497
Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya Arusha Mjini Anthony Maswi