mimi mwenyewe nimeshuhudia,kuna dingi kaja na mihele yake mitaa ya kilala akaanza sound kuwashawishi bodaboda wakamtoa nduki...
Wenzao wameshawishiwa na elfu 30,yeye kaja na elfu 10,jamaa wakamwambia yaani unachakakua hadi hela za kampeni,tokatokatoka...
Akapanda VX yake aka ondoka...