Unakumbuka pale ubungo plaza mlileta akina nani? Acheni kuumia iliwatokea, sasa nakutaarifu kuwa kwa mdahalo wa leo Wassira kawafanya kitu mbaya.Honey Faith
Wamekodiwa kwa kazi zote mbili, kuzomea na kushangilia kihasara hasara hivi! Inategemea na wakati tu.
Uda + udasa + tbc1 = ccm
Ni lazima wawepo ili ukweli ujulikane. Kina wasira na chemba wakiachwa wenyewe wataeneza sumu kwa wananchi wanaowatizama na kuwasikiliza.Makene...
Ni kwa nini Tundu Lissu asingekataa mwaliko?...
Ilishaelezwa hapa nini CCM wanafanya kuhusiana na Kongamano hilo...Nimeshangaa sana kuwaona Lissu, Machali , Kafulila na wajumbe wengine wa UKAWA kama sehemu ya Kongamano hilo...
Unakumbuka pale ubungo plaza mlileta akina nani? Acheni kuumia iliwatokea, sasa nakutaarifu kuwa kwa mdahalo wa leo Wassira kawafanya kitu mbaya.
Aibu kubwa kuliko zote ni kuiba wake za watu,unaleta porojo zako ambazo hazina kichwa wala miguu.
Makene...
Ni kwa nini Tundu Lissu asingekataa mwaliko?...
Ilishaelezwa hapa nini CCM wanafanya kuhusiana na Kongamano hilo...Nimeshangaa sana kuwaona Lissu, Machali , Kafulila na wajumbe wengine wa UKAWA kama sehemu ya Kongamano hilo...
aisee, kazi ipo!..umenenamkuu sana kaiba sana wake za watu na wengine kawafunga gerezani!
Mbona nawaona watu wawili tu unataka kuniambia hawa ndiyo wamejaza hilo kongamano halafu kama UKAWA walijua hayo yote kwa nini Tundu Lissu na wenzake wamekwenda kwenye hilo kongamano.