Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,547
- 139,880
Povu la nini! Mbona upande wa pili lini mara ya mwisho mmefanya uchaguzi? Kwa katiba ipi iliyompa nafasi MR NYEUPE kuwa KIONGOZI MKUU WA GENGE LENU? Sasa hivi Mzee wa kubadilishia GIA ANGANI anahaha! anajuta kumfahamu NYEUPE!Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
Kwan uchaguzi wa mwisho uliofanyika chadema mbowe alikua anashindana na nani?Kwa hivo kufuli anaenda kushindana na kivuli chake??
Hivi lile zoezi la kuchukua na kurudisha fomu lilianza na kukamilika lini mkuu??
Huku kwetu TV zimepigwa marufuku eti ni uchochezi.
Sidhani kama unaelewa ulichokiandika.Mzee naona umeamua kuonyesha chuki zako waziwazi, nina wasiwasi hujui kinachoenda kufanyika Dodoma! Anyways simple tuu Magufuli anaenda kupigiwa kura ya ndio au hapana na kuonyesha ukomavu wakisiasa na demokrasia JK anaenda kuachia kiti bila shurutii
Kazi ya Magufuli ni kuwatumikia Watanzania na siyo ccm, wapuuzi wengi kama wewe hili hamlijuhi, ndio maana anaomba Watanzania wamuombee na siyo wanaccm wamuombee.Sijaona hoja yako kwa kuwa kama anaenda kukabidhiwa ujue hakuna mgombea mwenza,yeye kosa lake lipi,watu bwana mara ooh JPM hatakuwa mwenyekiti,sasa anataka kukabidhiwa tena tena filimbi zinaanza hamna jema wanadamu acha akabidhiwe aweke mambo sawa na hapo ndo upinzani,wa bila sera bali kuishi kufuata upepo wa kimatukio utakwisha.
Wewe ni mwehu, katiba ndio sheria mama dunia nzima, watu makini tunapenda ccm iwe imara ili siku vyombo vya dola vikikubali kuheshimu maamuzi ya wapiga kura basi ningependa nione ccm kikiwa ni chama cha upinzani imara na kisigeuke kuwa historia kama KANU.Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
Lowasa alichukuwa fomu kama taratibu zinavyomtaka.Tupe Kwanzaa utaratibu mliotumia kumchagua mamvii ili tuamin unayonena maana hatuwezi kuusema ubaya wa mtu bila kujua uzuri wa mwngne upoje
Badly hakuna ulijuwalo, CUF wapo kwenye uchaguzi na fomu zipo wazi kwa wanachama wote wenye sifa kuchukuwa fomu kugombea uenyekiti.Povu la nini! Mbona upande wa pili lini mara ya mwisho mmefanya uchaguzi? Kwa katiba ipi iliyompa nafasi MR NYEUPE kuwa KIONGOZI MKUU WA GENGE LENU? Sasa hivi Mzee wa kubadilishia GIA ANGANI anahaha! anajuta kumfahamu NYEUPE!
Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
Halafu linaongeza kuwa ‘‘njoo Dodoma tuimarishe Demokrasia’’
MAONI YANGU
Huu ni utapeli wa wazi wazi. Magufuli haendi kuchaguliwa, anakwenda kukabidhiwa chama. Uchaguzi ni ushindani, tuambieni anakwenda kushindana na nani. Ni lini fomu za kugombea uenyekiti zilitolewa
Hata kama shetani anapenda watu waongo lakini kwa uongo huu wa CCM hata shetani atashituka. Kwamba CCM inawaalika wajumbe waje Dodoma kuimarisha Demokrasia??? Demokrasia ya kukiuka katiba inayotaka mwenyekiti kuchaguliwa nyinyi mnaenda kukabidhi?
Kama swala la utamaduni linakubalika, sioni umuhimu WA katiba ya chama, bora kungekuwa na utaratibu WA kugawa form ili watu wapige kura ya ndio kwa ukunjufu...Sio vyema kuingilia Demikrasia yetu tunaenda kukabidhi chama kwa JPM kama utamaduni wetu ulivyo na sio lazima katiba iseme hivyo. Utamaduni unakubalika katika kuamua mambo.
Najiuliza andiko lako limeegemea kwenye ulinganifu gani, yaani comparison ili kuja na maoni yako.Tangazo la CCM katika maTV la kuwaalika wajumbe wa Mkutano Mkuu mjini Dodoma linawataka kwamba July 23 ni siku ya kumuaga Dr.Jakaya Kikwete na kumchagua mwenyekiti mtarajiwa Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.