Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Wana jf,
Kwa shauku na hamu nilisubiri huku nikitafakari moyoni mwangu jinsi viongozi wa CCM watakavyo pata wakati mgumu kutoa salam za chama katika msiba wa Mzee wetu marehemu W.Mgimwa.
kwa makini nilifuatilia kauli za Mangula,Mwigulu,Jenista na wengine wengi,woote walikiri mzee huyu(marehemu) alikuwa mchapa kazi sana na hata spika akdiriki kusema wangepata mbadala wa mtu mwingine afe kwa niaba yake.
Binafsi nilistushwa sana maana nikikumbuka mzee kinana alitumia fedha nyingi za chama kuzunguka mikoani akisisitiza mawaziri mizigo,akiwemo na huyu mzee, iweje leo wamuone mchapakazi...???
CCm acheni unafiki,jifunzeni kuheshimu kauli zenu. Ninachotaka hapa sio kumzungumzia marehemu, bali kuonyesha hawa waheshimiwa kwamba wanalohubiri silo wanalotenda,na wanatuhadaa wananchi...