Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Yaani viwanja vilijengwa na watanzania wote wao wameviteka na kuvigeuza mali yao na wala nafsi zao haziwashitaki kuwa wamedhulumu jasho la watanzania wenzao. Hawa jamaa walitaifisha mali za TAPA na kuzigeuza zao. Ni kama sasa hivi wajimilikishe shule za kata.Kwa kweli inauma sana ila naamini ipo siku Mungu atatengeneza njia
Aliuawa Dr. Sengondo Mvungi,aliuawa Daudi Mwangosi alijeruhiwa Dr. Steven Ulimboka na hata Ben saanane hajulikani alipo ni kawaida na wala roho haziwastuki kwa kuwa si wana CCM wenzenu.
Umekata viroba sasa unashushsha na vipande vya nanasi unaongea kama mtu aliekata tamaa.Hata chadema wangekuwa madarakani wangeongea lugh hiyo hiyoDangote anataka kuwekeza anapelekwa Lumumba, anataka kufunga kiwanda, CCM wanasema aende, analeta magari 600 CCM wanasema "hii ni aibu kwa UKAWA" bila ya hawa watu kujua kwamba hata wanaowapinga ni watanzania kama wao walivyo watanzania, hii nchi haitaendelea abadani.
Mzee Mwenyewe aliwaita watu "malofa" na "wapumbavu" akatetewa weee mpaka mbingu ikashusha mvua. Na yule mwingine anamwita mtumishi wa Serikali kichaa na anaendelea kudunda kama kawaida. Kama neno "B.w.e.g.e" lilileta taharuki nchi nzima,inakuwaje mtu aitwe kichaa watu waone kawaida, Au kwa kuwa limetamkwa na mwana CCM?
Mimi na mawazo tofauti, ni bora kwa CCM iendelee kuihodhi Tanzania inavyotaka kuliko kumkabidhi Bikira Maria kuwa Msimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa,Tanzania. Nchi itaingia nuksi, kunakamizwa, kugharikishwa na kuangamizwaNikiyaangalia matukio yaliyotokea hivi karibuni na kukumbuka yale yaliyowahi kutokea hapa nchini mwetu kwa upande wa Siasa, nimefikia hitimisho kwamba ili nchi hii isonge mbele ni lazima CCM iache fikra na matendo ya kuhodhi nchi yetu ya Tanzania kama ni mali yao peke yao.
Ukicmamshwa mahakaman unaweza kutoa ushahd wa hlo?Aliuawa chacha wangwe
Kwani hiyo CCM sasa hivi iko chini ya nani? Ukijua jibu lake hapo ndipo utajia kama tayari imeshatwaliwa na huyo unayemwogopa au la.Mimi na mawazo tofauti, ni bora kwa CCM iendelee kuihodhi Tanzania inavyotaka kuliko kumkabidhi Bikira Maria kuwa Msimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa,Tanzania. Nchi itaingia nuksi, kunakamizwa, kugharikishwa na kuangamizwa
Zitto Kabwe alikuwa mwanachama wa CHADEMA na bila shaka mpaka leo pengo lake linaonekana ndani ya chama vilevile Dr Slaa wanamchango mkubwa sana ndani ya historia ya CHADEMA mbona siku wameondoka hajawagawia Mali za chama ,hawana jasho lao humo, hiyo siyo dhuluma. Kama unashida na viwanja nenda CCM
Umekata viroba sasa unashushsha na vipande vya nanasi unaongea kama mtu aliekata tamaa.Hata chadema wangekuwa madarakani wangeongea lugh hiyo hiyo
Kama mliweza kuchagua kambi rasmi ya upinzani bungeni bila ya kushirikisha wenzenu,mkichukua dola mtamsikiliza nani nyie wasanii?